Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anasema wenyewe walishalipwa kwa namna moja ua nyingine....hivyo ni bora tuzitumie kwenye kilimo.
Na kesho au kesho kutwa tutaandaa maandamano makubwa sana kumpongeza Mteule wetu kwa hutuba yake nzuri saaaaana yenye hekima na ujasiri pale Lumumba, Kidumu chama chetu!!Hivi ile kamati si nayo inawatuhumiwa.Mlitegemea nini sasa? wasanii. Na huu ndio mwisho wa show yetu leo lakini for public interest tutairudia katika TBC1 saa tatu jioni.
EPA IMEISHA.
Nov moja tunawapelekea mahaka kutusaidia kukusanya kile ambacho hakijakusanywa.
Sikuelewa kuwa kumbe ni kesi ya madai!
yaani hotuba ilivyo ndefu...mie nimeshachangayikiwa,sababu kuja kitu nasuburi kusikia ila sikipata
"Tanzania sasa sio kichwa cha mwendawazimu, Tanzania sasa ni kinyozi" - Jakaya Kikwete