Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

yaani hotuba ilivyo ndefu...mie nimeshachangayikiwa,sababu kuja kitu nasuburi kusikia ila sikipata
 
Jitihada, Hatua, Matokeo na Taarifa imetulia

Asiyekubali kushindwa si mshindani. Tukubali tu hapo tulipofika, kila kitu kiko wazi sasa!!!! Kinyume chake waTZ tunataka Rais mwenye akili kama Mgambo wa City!!!! Akikuona tu KAMATA, PIGA, NYANGANYA TIA NDANI

Tusubiri taarifa baada ya uchunguzi kati ya kamati na interpol!
 

anasema wenyewe walishalipwa kwa namna moja ua nyingine....hivyo ni bora tuzitumie kwenye kilimo.

rais muongo, anasema pesa aziwezi kwenda katika mfuko wa serikali sababu si za serikali za wenyewe mitsubish, sasa kama hao mitsubish wameshalipwa sasa kuna haja gani ya hao kina mgonja kurudisha pesa, halafu hiyo tume imemnyanganya nani gari, mbona grey anayo magari, tena yake mwenyewe atumii anatumia ya serikali.

ingekuwa kama hakuna kufungiwa hapa, labda tukiwa tunamtukana haswa anaweza kasirika akafanya jambo
 
Hivi ile kamati si nayo inawatuhumiwa.Mlitegemea nini sasa? wasanii. Na huu ndio mwisho wa show yetu leo lakini for public interest tutairudia katika TBC1 saa tatu jioni.
Na kesho au kesho kutwa tutaandaa maandamano makubwa sana kumpongeza Mteule wetu kwa hutuba yake nzuri saaaaana yenye hekima na ujasiri pale Lumumba, Kidumu chama chetu!!
 
what about the renovation of the vip wing in prisons ... is that going to accommodate the layman now ... what was the fuss all about .... jamani nyie ... walitupa matumaini kwamba atleast they will have to go to jail hata kama ni decent but it will still retain the name jail

give him time maybe he is just looking for the guts and courage to start
 
Mchakato wa kugawana mbao upewe kipau mbele ,Tanganyika Huru na Zanzibar Chini ya Tanzania moja ,akimaanisha kila mmoja na serikali yake.
 
EPA IMEISHA.

Nov moja tunawapelekea mahaka kutusaidia kukusanya kile ambacho hakijakusanywa.

Sikuelewa kuwa kumbe ni kesi ya madai!

Jamani hivi hela hizi hawa watu walikopa? ndio wakichelewa wapelekwe mahakamani? hao watakaomaliza "kurudisha" hawatapelekwa mahakamani? na makampuni yanayosubiriwa interpol report ni yapi haya haya yanayorudisha hela? ni miaka 23 imepita wenye fedha zao hawajajitokeza, sasa kusema kuwa watakuja kudai ni ya kweli haya? kupeleka hazina ndio safe zaidi au ndio channel rahisi ambayo haitakuwa na wakuuliza?
 
Congratulations Mr.President for being able to speak for such a long time. However its not worth it, naona hata nguvu ya kupiga makofi wabunge imepungua wamechoka na hawaelewi main topic ya leo, ni kilimo, epa, mishahara ya walimu, muungano au hali ya uchumi?

its just too confusing for their minds to catch.
 
Walimu mwiko kugoma Jumatatu

Jaribuni muone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
JK JK JK JK JK

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
"Tanzania sasa sio kichwa cha mwendawazimu, Tanzania sasa ni kinyozi" - Jakaya Kikwete

Kinyozi inamnyoa nani!!!!????? 🙁
Ama kweli hatuna uongozi Tanzania tuna wahuni tu ambao wanathubutu kujiita viongozi.
 
Back
Top Bottom