Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Sawasawa sasa siku si nyingi utajua kuwa lile ni baraza la bavicha au la uvccm
ICC siyo balaza kuu la bavicha na soon utavunjika moyo kama alivyokuvunja mgombea wako baada ya kupata 13%, kupuuzwa kwenye maandamano na kukimbilia ubelgiji.
 
Hayo ni malalamiko yako tu na hayatakusaidia hadi 2025 inafika utakuwa unalalama tu kama hivi.
ICC siyo balaza kuu la bawacha
Sasa huyo Amsterdam anaenda kuhakikisha Magufuli na watu wake wanatolewa Arrest Warrant na ICC
😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisha Magufuli atakuja kukamatwa anaenda kufungwa ICC na badala yake Lisu anakuwa rais?
Hahahaa
 
Humjui Magufuli unajipendekeza kwa usiyemjua. Uliza wanaomfahamu watakwambia, acha uchumia tumbo.
Magufuli hahitaji kujulikana na mtu mbumbumbu kama wewe,

Yeye kashajuliaka ni Rais wa Tz dunia nzima inajua. Anachohitaji sasa hivi ni kuwatumikia watz, basi. Hayo ya kujukana tunamuachia mbelgiji
 
Magufuli hahitaji kujulikana na mtu mbumbumbu kama wewe,

Yeye kashajuliaka ni Rais wa Tz dunia nzima inajua. Anachohitaji sasa hivi ni kuwatumikia watz, basi. Hayo ya kujukana tunamuachia mbelgiji
Unadhani Tamko la Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu lilikuja kwa bahati mbaya eeh??? Sasa jiandaeni kutolewa Arrest warrant very soon
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha sasa hivi wananung'unika kama mjusi kabanwa na malango.

Wakati mwezi uliopita walikuwa wanabana pua humu eti ni yeye.

Ukiwambia huyo ni yeye wenu hatafikisha hat 20% wanatukana. Haya ni yeye wao kala kona hadi kwa Amsterdam huku nyuma akiwa kaacha mbunge mmoja kutoka wabunge zaidi ya 45.

Huyu ni yeye ni mkosi kwa chadema.
 
Ni Yeye kashatuma maombi ya maridhiano 😂😂😂
 
Unadhani Tamko la Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu lilikuja kwa bahati mbaya eeh??? Sasa jiandaeni kutolewa Arrest warrant very soon
Tamko ndio kitu gani?

Museven tu hapo kampala ana mafaili ya matamko kabati zima kutoka kwa hao ulioweka matumaini kwao.

Mwishoe Besigye kaona bora alee wajukuu tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiwe likiitwa chondechonde kaeni nalo hukohuko ulaya... Hatulitaki kamweeee
 
Maamuzi yoyote utakayo yafanya maishani mwako utawajibika nayo 'Any decision you make in life you are responsible for it'
 
Tamko ndio kitu gani?

Museven tu hapo kampala ana mafaili ya matamko kabati zima kutoka kwa hao ulioweka matumaini kwao.

Mwishoe Besigye kaona bora alee wajukuu tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete tamko mojawapo lililotolewa na kamisheni ya umoja w mataifa dhidi ya museveni tulione hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…