Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Mapambio yameanza ili mtupige sio
 
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA

Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa​

 
Tzn hapa vitu vingi ni vya dezo dezo ndio maana watu wanapata hata mda wa kutukana na kulaumu serikali ila wangekuwa nchi zingine wangekuwa busy kutafuta maisha Ili kukabiliana na ukali wa maisha ..

Sasa mtu akiweka buku umeme wiki Zima,buku bando wiki Zima ndio maana uzembe umezidi, gharama zingekuwa juu kila mtu angekuwa busy kusaka pesa wasingepata mda wa kutukana.
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Ndio hao waliolipwa hela ya chakula ada hakuna?
 
Kwa hiyo unashauri wananchi waminywe zaidi ili waache kusumbua serikali
 
Kila zama na watu wake...JPM zama zake walikwepo akina Msemajiukweli. Zama za Samia ameibuka mwingine.
Zama za JK alikwepo akina Zomba....hivi kuna ka malipo hua wanapata?
 
Ebu tueleze, kabla ya Mama Tanzania ilikuwa ya ngapi kwa bei ya umeme?
 

Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

In God we trust, Kazi Iendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…