Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

" Hakuna kama Samaia "​

Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6

2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8

Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,

"
Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "

View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Habari mbaya sana hii kwa pingapinga FC,
 
Wanatuandaa kisaikolojia ili wapandishe,hawana lolote,,
Nadhani tumeshuhudia kelele zao kuwa Tanzania tunatumia gharama nafuu za Bundle duniani...
Saa hii wamekuja kwenye umeme,,baada ya hapo maji
Haswa hujakosea sawa tunamkubali ila hizi spinning sasa . Bundles wameshapandisha na wanaendelea na vingine huku uchumi ukiwa bado tete Kwa mtu mmoja mmoja na gap likizidi kuongezeka .
 
Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

" Hakuna kama Samaia "​

Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6

2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8

Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,

"
Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "

View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
We mang'aa unatumika kindezi watu ttunakupuuza kinoma. Kila wakati unakuja na data za kidwanzi unaona watu humu nimaree!!
Kwanini usitafute nduguzako uwakusanye uwasimulie ujinga wako wote...watu tunataka kuona hoja zamaana humu sio kujipendekeza kwako kadogoo!! Tushawachokaga vipusi fata makombo
 
Safi Sana Rais Samia You deserve better everlasting
 
We mang'aa unatumika kindezi watu ttunakupuuza kinoma. Kila wakati unakuja na data za kidwanzi unaona watu humu nimaree!!
Kwanini usitafute nduguzako uwakusanye uwasimulie ujinga wako wote...watu tunataka kuona hoja zamaana humu sio kujipendekeza kwako kadogoo!! Tushawachokaga vipusi fata makombo
Kwanini wewe usilete hizo data wewe pingapinga ukapinga hizi data fake za huyu Crde kwa data halisi,
 
Haswa hujakosea sawa tunamkubali ila hizi spinning sasa . Bundles wameshapandisha na wanaendelea na vingine huku uchumi ukiwa bado tete Kwa mtu mmoja mmoja na gap likizidi kuongezeka .
Be proactive mjomba achana na mawazo yaliyoganda
 
Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

" Hakuna kama Samaia "​

Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6

2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8

Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,

"
Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "

View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Kama anayoyasema Makamba kuhusu kuboresha uchakavu wa miundombinu tukifanikiwa tutakula bata sana. Wizara sasa imekuwa more professional. Mama ameweza kulenga pazuri kwenye Nishati.
 
Kuhusu Makamba nakubaliana na wewe 100%
 
Chato gang watakwambia umeme unakatika katika 😂😂..

Wanatapatapa Sana.
Ni kweli unakatika sana mpaka kero, lkn hilo linaweza kusimamiwakwani tuliona huko nyuma linahitaji useriousness ambao bado hauonekani,nahizi pambio ndio tunazidi Zama kabisa.
 
Tumia akili yako yote
 
Tumia akili yako yote
Mkila rushwa mnapanua midomo kusifia sisi tunapata hasara,mazao yanaoza,mitambo haifanyi kazi halafu unaniambia nitumie akili yote kivipi anyway matusi siyawezi,watu Kama wewe.
 
Haswa hujakosea sawa tunamkubali ila hizi spinning sasa . Bundles wameshapandisha na wanaendelea na vingine huku uchumi ukiwa bado tete Kwa mtu mmoja mmoja na gap likizidi kuongezeka .
Bundles tunahitaji kampeni washushe
 
Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,​

" Hakuna kama Samaia "​

Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )

Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,

Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-

1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6

2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4

3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2

4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8

Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,

Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,

NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,

"
Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "

View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Safi sana
 
Back
Top Bottom