Lima weweTanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi
Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya ikapatikana ili tuwe na siasa safi na viongozi watakao wajibishwa na wananchi sio wananchi wawajibishwe na viongozi kama sasa Serikali ni ya wananchi sio ya viongozi
Sent from my sm-j600f using jamiiforums mobile app
Wanajifanya WAJANJA Eti Tupo UCHUMI wa KATI Tunatumia PESA zetu kumbe MIKOPO MITUPUSi uchumi wa kati hiyo hizo tozo za nini
Mlibahatisha wikendi iliyopita kuifunga Norwich 3-0
Uchumi ukipanda na tozo zinapanda zaidi, kwani wafadhili wanapunguza misaada, na watu wanahitaji huduma za kisasa zaidi.Si uchumi wa kati hiyo hizo tozo za nini
Baada ya kuigundua hiyo fursa, anza haraka kilimo ujijengee utajiri kama akina Bakhresa au Mohammed Dawji (Mo). Haitakaa itokee wananchi wote milioni 60 wagombanie fursa moja. Fursa zipo kwa ajili ya wachache wenye kung'amua mapema.Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi
Wasomali, Indians, Arabs na Chinese kokote waliko duniani, wanatumia sana mfumo huu kuweka/kuchukua fedha kwa tozo ndogo sana.Tunatuma tozo inapobidi, tumerudia zile njia za kuweka pesa dukani kwa Wapemba Kinondoni na ndugu yako anachukua kwa mdogowake Dodoma
Serikali inapovuta bangi haya ndo madhara