Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

T
Pia hata hali ya kulalamikalalamika nako ni ugonjwa wa akili. Hapa duniani hakutakuja kuwepo system kamilifu, system kamilifu ipo Mbinguni kwenye Ufalme wa Mungu Baba.

Pia hiyo ya werevu kutawaliwa na wadhaifu hiyo kitu inaitwa "Neema". Neema maana yake ni wasiostahili wamestahilishwa na wenye majivuno ya sifa zao kutupiliwa nje huko.
Too logical to discuss

Ukweli ni kwamba ili ufanikiwe unahitaji watu na connection zao

Hivi vikaratasi tulivyopewa vyuoni visikufanya uone kama huhitaji mtu

Tafuta connection na watu hata biblia inatuambia huwezi kusema unampenda Mungu usiemuona hulu ukamchukua jirani yako

Tafuta jirani Kiongozi utoboe watu wanataka kwenye kalamu zao

Wewe mleta uzi hata kwenye msiba unaweza kukosa chakula cha bure kwasababu hujui maana ya connection
 
Wananchi wenye akili wako wengi tu, kinachotakiwa ni kufuta kipengele cha polisi ku attack raia kama defense mechanism. Hapo ndio utaona kwamba mabadiliko kumbe yanawezekana.

Hii ndio iko kwenye nchi zote zenye demokrasia inayojielewa. Hata hapo Kenya tu polisi haruhusiwi kupiga raia ila huku kwetu ni kinyume.

Tuondoe hali ya serikali kuwa mtawala wa wananchi na badala yake iwe meneja.

Mkuu unaishi Tanzania kweli? Hii nchi kuendeleza sio leo Wala kesho
 
Mkuu unaishi Tanzania kweli? Hii nchi kuendeleza sio leo Wala kesho
It was proved possible from 2016-2021, wote ambao ni untouchable wanaweza kuwekwa nje ya mfumo na nchi ikaendelea bila shida. Tena bila kutumia nguvu kubwa. Katiba ilioko balanced inawekwa mezani na kufitishwa vyema kabisa.
 
Unaonekana ushafanikiwa sana mkuu, namimi nishike mkono nilambe asali..
Njia ya kwanza nikupata kadi Yao , wakikuona una kitu Cha tofauti wanakuchukua Mapema tu

Mimi sipo siasani lakini Jamaa zangu nimewaona wakitafuta kadi na wanaanza kujenga connection Muda mfupi wanalamba Asali so mm naona ndo Mfumo ulivyo.

Ukitumia Akili watasema unaanza kukosa uzalendo
 
Kuwa mstaarabu sasa kwa comment hii wenzako tucomment nn?? Maana umemaliza kila kitu
Walamba asali mna shida sana, ila Putin akishapindua meza mtafute pa kwenda. Hatutakubali ushoga.
 
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Uko sahihi mkuu., kuna watu wanaliongoza hili Taifa hata wao kuna mda hawaamini kuwa kwenye hizo nafasi, ila chini ya Jua huwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Ikianzisha mikataba ya miaka 15yrs ya utumishi ndio ufikiriwe
 
Njia ya kwanza nikupata kadi Yao , wakikuona una kitu Cha tofauti wanakuchukua Mapema tu

Mimi sipo siasani lakini Jamaa zangu nimewaona wakitafuta kadi na wanaanza kujenga connection Muda mfupi wanalamba Asali so mm naona ndo Mfumo ulivyo.
Hahahahahah kadi ninayo ila connection ndio sina 😀 nifanyie wepesi maana nimekutana na vijana wawili wamekula form 6 za chama wanaelekea zao Kibaha mapema sana 😀😀😀 inaonesha kuna asali huko.
 
It was proved possible from 2016-2021, wote ambao ni untouchable wanaweza kuwekwa nje ya mfumo na nchi ikaendelea bila shida. Tena bila kutumia nguvu kubwa. Katiba ilioko balanced inawekwa mezani na kufitishwa vyema kabisa.
The system is corrupt
 
T

Too logical to discuss

Ukweli ni kwamba ili ufanikiwe unahitaji watu na connection zao

Hivi vikaratasi tulivyopewa vyuoni visikufanya uone kama huhitaji mtu

Tafuta connection na watu hata biblia inatuambia huwezi kusema unampenda Mungu usiemuona hulu ukamchukua jirani yako

Tafuta jirani Kiongozi utoboe watu wanataka kwenye kalamu zao

Wewe mleta uzi hata kwenye msiba unaweza kukosa chakula cha bure kwasababu hujui maana ya connection
Hata huo unaoitwa werevu ukichunguza kwa karibu zaidi ni ujinga tu. Embu fikiria tushawahi kuwa na maprofesa mawaziri akina Kapuya, kitu gani walifanya kilichoonyesha kwamba "uwerevu" ni sifa ya maana kwenye utawala? Hasa kwenye dunia hii yenye watu wa aina zote, na complications kama zote. Mi mwenyewe hapa ni msomi but katika pita zangu za maisha yangu nimejifunza, na wakati mwingine nimejifunza the hard way, kwamba usomi wangu unanifaa mimi tu na pengine mke na watoto wangu tu, but useless linapokuja suala la maisha ya kijamii kwa ujumla. Elimu ya jamii ni elimu tofauti kabisa na tuliyosomea vidato.
 
Hiyo Dunia unayoizungumzia ni hiyo yenu ya pale msoga.

Ndio maana mmejazana wote kwenye nafasi za uongozi maana mnajuana kwa hiyo loyalty kwamba mkipanga kutupiga tukio basi kikwazo inakua hakuna.
Magufuli alikuwa anateua watu wa Chadema? Huyu si ndio alimlinda Makonda licha ya kubaonika kuwa ana vyeti feki? Huku akijidai kutimbua wengine?
 
Hii nchi ngumu ndo maana watu wakipata nafasi wanaamua kujitoa ufahamu
Hahahahahah kadi ninayo ila connection ndio sina 😀 nifanyie wepesi maana nimekutana na vijana wawili wamekula form 6 za chama wanaelekea zao Kibaha mapema sana 😀😀😀 inaonesha kuna asali huko.
 
Back
Top Bottom