DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unacheza na Akili zao Mkuu usiogope kujitoa AkiliIla sio kwa kujitoa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheza na Akili zao Mkuu usiogope kujitoa AkiliIla sio kwa kujitoa akili.
Too logical to discussPia hata hali ya kulalamikalalamika nako ni ugonjwa wa akili. Hapa duniani hakutakuja kuwepo system kamilifu, system kamilifu ipo Mbinguni kwenye Ufalme wa Mungu Baba.
Pia hiyo ya werevu kutawaliwa na wadhaifu hiyo kitu inaitwa "Neema". Neema maana yake ni wasiostahili wamestahilishwa na wenye majivuno ya sifa zao kutupiliwa nje huko.
Wananchi wenye akili wako wengi tu, kinachotakiwa ni kufuta kipengele cha polisi ku attack raia kama defense mechanism. Hapo ndio utaona kwamba mabadiliko kumbe yanawezekana.
Hii ndio iko kwenye nchi zote zenye demokrasia inayojielewa. Hata hapo Kenya tu polisi haruhusiwi kupiga raia ila huku kwetu ni kinyume.
Tuondoe hali ya serikali kuwa mtawala wa wananchi na badala yake iwe meneja.
Unaonekana ushafanikiwa sana mkuu, namimi nishike mkono nilambe asali..Unacheza na Akili zao Mkuu usiogope kujitoa Akili
It was proved possible from 2016-2021, wote ambao ni untouchable wanaweza kuwekwa nje ya mfumo na nchi ikaendelea bila shida. Tena bila kutumia nguvu kubwa. Katiba ilioko balanced inawekwa mezani na kufitishwa vyema kabisa.Mkuu unaishi Tanzania kweli? Hii nchi kuendeleza sio leo Wala kesho
Kuwa mstaarabu sasa kwa comment hii wenzako tucomment nn?? Maana umemaliza kila kituUkiwa mwerevu lazima utakuwa na uwezo wa kutengeneza connections, otherwise huo werevu wako ni ujinga.
Njia ya kwanza nikupata kadi Yao , wakikuona una kitu Cha tofauti wanakuchukua Mapema tuUnaonekana ushafanikiwa sana mkuu, namimi nishike mkono nilambe asali..
Walamba asali mna shida sana, ila Putin akishapindua meza mtafute pa kwenda. Hatutakubali ushoga.Kuwa mstaarabu sasa kwa comment hii wenzako tucomment nn?? Maana umemaliza kila kitu
Uko sahihi mkuu., kuna watu wanaliongoza hili Taifa hata wao kuna mda hawaamini kuwa kwenye hizo nafasi, ila chini ya Jua huwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Hahahahahah kadi ninayo ila connection ndio sina 😀 nifanyie wepesi maana nimekutana na vijana wawili wamekula form 6 za chama wanaelekea zao Kibaha mapema sana 😀😀😀 inaonesha kuna asali huko.Njia ya kwanza nikupata kadi Yao , wakikuona una kitu Cha tofauti wanakuchukua Mapema tu
Mimi sipo siasani lakini Jamaa zangu nimewaona wakitafuta kadi na wanaanza kujenga connection Muda mfupi wanalamba Asali so mm naona ndo Mfumo ulivyo.
Mkuu wewe huna kwaresma kabisa ikibidi unywe maji na supu haraka Sana ,hunafunga ha ha haaWe ni fala kwa hio kulamba watu makalio ili kupata connection ni werevu pia? 🤣
The system is corruptIt was proved possible from 2016-2021, wote ambao ni untouchable wanaweza kuwekwa nje ya mfumo na nchi ikaendelea bila shida. Tena bila kutumia nguvu kubwa. Katiba ilioko balanced inawekwa mezani na kufitishwa vyema kabisa.
Hata huo unaoitwa werevu ukichunguza kwa karibu zaidi ni ujinga tu. Embu fikiria tushawahi kuwa na maprofesa mawaziri akina Kapuya, kitu gani walifanya kilichoonyesha kwamba "uwerevu" ni sifa ya maana kwenye utawala? Hasa kwenye dunia hii yenye watu wa aina zote, na complications kama zote. Mi mwenyewe hapa ni msomi but katika pita zangu za maisha yangu nimejifunza, na wakati mwingine nimejifunza the hard way, kwamba usomi wangu unanifaa mimi tu na pengine mke na watoto wangu tu, but useless linapokuja suala la maisha ya kijamii kwa ujumla. Elimu ya jamii ni elimu tofauti kabisa na tuliyosomea vidato.T
Too logical to discuss
Ukweli ni kwamba ili ufanikiwe unahitaji watu na connection zao
Hivi vikaratasi tulivyopewa vyuoni visikufanya uone kama huhitaji mtu
Tafuta connection na watu hata biblia inatuambia huwezi kusema unampenda Mungu usiemuona hulu ukamchukua jirani yako
Tafuta jirani Kiongozi utoboe watu wanataka kwenye kalamu zao
Wewe mleta uzi hata kwenye msiba unaweza kukosa chakula cha bure kwasababu hujui maana ya connection
Mkuu wewe huna kwaresma kabisa ikibidi unywe maji na supu haraka Sana ,hunafunga ha ha haa
Mkuu madili yote uliyonayo hapa mjini bado unataka mengine,kweli Asali tamuUnaonekana ushafanikiwa sana mkuu, namimi nishike mkono nilambe asali..
Asali sijalamba kabisa😀 ila kwa jinsi inavyowapa watu jeuri inaonesha ni ya nyuki wadogo hii!Mkuu madili yote uliyonayo hapa mjini bado unataka mengine,kweli Asali tamu
Magufuli alikuwa anateua watu wa Chadema? Huyu si ndio alimlinda Makonda licha ya kubaonika kuwa ana vyeti feki? Huku akijidai kutimbua wengine?Hiyo Dunia unayoizungumzia ni hiyo yenu ya pale msoga.
Ndio maana mmejazana wote kwenye nafasi za uongozi maana mnajuana kwa hiyo loyalty kwamba mkipanga kutupiga tukio basi kikwazo inakua hakuna.
Hahahahahah kadi ninayo ila connection ndio sina 😀 nifanyie wepesi maana nimekutana na vijana wawili wamekula form 6 za chama wanaelekea zao Kibaha mapema sana 😀😀😀 inaonesha kuna asali huko.