Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Naunga mkono hoja
 
Ukiwa chawa unapata cheo, ukifanya ujinga ukatrend unapata deal. Bongo ovyo ovyo sana
 
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Eti wao nga wanaajiliwa tiss
 
Kila mtu unamuona hana akili zaidi yako na ukoo wako...Hao unao waita wajinga unawajua elimu zao ? Wewe binafsi una elimu gani ya kuonekana sio mjinga ?

Uwe na adabu kama hauna malezi usiwe unaropoka tu...Maana ukoo wako ndo werevu pekee
Ujinga, werevu, elimu na akili. Usichanganye hivyo vitu. Mtoa mada kaongelea watu wajinga kwenye nafasi za kufanya maamuzi, sio wasiokwenda shule au wasio na elimu
 
ahsante kwa kumuelewesha kiufupi sijataja chama wala itikadi wala elimu.Kwanza uko kwenye elimu ndio kuna wajinga wengi
 
Watoto hawataki shule ili wawe madaktari, wanataka kuwa wanabongo fleva na watembea nusu uchi ili wawe wakuu wa mikoa. Welcome to the new era of Tanzania election.
 
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Asante sana kwa uzi huu. Kati ya mambo ya kuchukiza na yanayoturudisha nyuma watanzania ni hili; kuruhusu wajinga watuongoze!
 
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Hili nimelithibitisha jana kwenye chuo kikuu fulani...Nilishangaa kupita maelezo, sikuelewa jinsi gani watu wazima wenye akili timamu wanaweza kaa kimya huku mtu mmoja pekee akifanya maamuzi ambayo ni kama kuwatukana wenzake. Akiwauliza kwa kejeli hao wenzake nao wakimjibu bila kuona soni kuwa anafanya kitu sahihi huku wakijua ni uovu, mediocrity ya hali ya juu...

Sasa hilo linafanyika chuo kikuu, huko kwingine siitakuwa balaa?

Maana hao ndiyo ambao walitegemewa wawe think tank ya taifa. Kama wao wanahalalisha wazi wazi kitu kinachofanana na rushwa ya ngono kwa uwazi hivyo bila kuuliza hata swali si hatari?

I cried yesterday, ila nikachagua amani badala ya ugomvi for my personal benefit kwa mara ya kwanza naku forgo national interest...Mungu anisamehe, na anisaidie pengine nimechoka kusimamia haki.
 
Hivi si mnasema huyo ni CPA ya UK kabisa au ni titles tu... Acheni wivu....
Huyo jamaa sijui aliweza vipi kuwa mkuu wa mkoa aisee.

Yaani unaacha watu wenye CV za maana huko halafu unatuletea papaa kuwa RC??
 
nchi zote duniani teuzi za kisiasa zinaangalia kwanza loyalty kabla ya kitu kingine
Do not confuse loyalty to/from mediocrity...Hazifanani kabisa. Hawa chawa hawana loyalty yeyote ile zaidi ya kutafuta mtu wa kumnyonya na akiishiwa damu wanahamia kwingine....
 
Saivi sera yakuinua wamama kuna visichana vijeuri na vinafki visivyoelewa majukumu vimepewa ofisi vinaudhi mmmno! Kibinti kinakuvutia mdomo akitokea mchepuko wake kinacheka mpaka kinajamba mxiiiuuuuu
Hii cancer mpya sijui tiba yake itapatikana wapi...Tuna set precedence mbaya sana sana kama nchi
 
UPO SAHIHI naunga mkono hoja NCHI hii ina WAJINGA wengi sana zamani walikuwa WASIO SOMA lakini sasa hivi WASOMI ndio WAJINGA hawajitambui Hawajui nani kawapa UMASIKINI BABA zao mpaka wao WAKAURITHI Wasomi wetu ni Wajinga sana.
Ukweli mchungu
 
Sasa muelewe Muhimu wa katiba mpya
I TRUST Mh. Rais ameshaliona hili and she will do what is not expected by most of us...I pray that she succeeds in her intentions, maana hao mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo a.k.a chawa ndiyo waliotishio zaidi.
 
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.

Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.

Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Sasa hapo nani mwerevu?
 
Back
Top Bottom