Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mtu akipata chance tu anapiga chenchi za Radar🤣🤣🤣Hii nchi ngumu ndo maana watu wakipata nafasi wanaamua kujitoa ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akipata chance tu anapiga chenchi za Radar🤣🤣🤣Hii nchi ngumu ndo maana watu wakipata nafasi wanaamua kujitoa ufahamu
Naunga mkono hojaUkweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Kutengeneza connection siyo uchawa mfano mzuri ni Roman Abramovic.We ni fala kwa hio kulamba watu makalio ili kupata connection ni werevu pia? 🤣
Hata China, Japan, Malaysia and all economic giant countries?nchi zote duniani teuzi za kisiasa zinaangalia kwanza loyalty kabla ya kitu kingine
Shida sanaAu chukulia mfano wa nape na makamba yaani ni matatizo tupu nchi hii.
Eti wao nga wanaajiliwa tissUkweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Mwijaku likes![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine mpaka wanauvua werevu wao ili watengeneze connection uk taxari kwa ilo mkuu
Walioandaa andiko la mradi wa BBT![emoji1787][emoji1787]Tanzania HAKUNA meritocracy.
Ni mwendo wa connection, nepotism na chawacracy
Ujinga, werevu, elimu na akili. Usichanganye hivyo vitu. Mtoa mada kaongelea watu wajinga kwenye nafasi za kufanya maamuzi, sio wasiokwenda shule au wasio na elimuKila mtu unamuona hana akili zaidi yako na ukoo wako...Hao unao waita wajinga unawajua elimu zao ? Wewe binafsi una elimu gani ya kuonekana sio mjinga ?
Uwe na adabu kama hauna malezi usiwe unaropoka tu...Maana ukoo wako ndo werevu pekee
ahsante kwa kumuelewesha kiufupi sijataja chama wala itikadi wala elimu.Kwanza uko kwenye elimu ndio kuna wajinga wengiUjinga, werevu, elimu na akili. Usichanganye hivyo vitu. Mtoa mada kaongelea watu wajinga kwenye nafasi za kufanya maamuzi, sio wasiokwenda shule au wasio na elimu
Asante sana kwa uzi huu. Kati ya mambo ya kuchukiza na yanayoturudisha nyuma watanzania ni hili; kuruhusu wajinga watuongoze!Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Hili nimelithibitisha jana kwenye chuo kikuu fulani...Nilishangaa kupita maelezo, sikuelewa jinsi gani watu wazima wenye akili timamu wanaweza kaa kimya huku mtu mmoja pekee akifanya maamuzi ambayo ni kama kuwatukana wenzake. Akiwauliza kwa kejeli hao wenzake nao wakimjibu bila kuona soni kuwa anafanya kitu sahihi huku wakijua ni uovu, mediocrity ya hali ya juu...Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe na vigezo gani? Inasikitisha sana wajuzi wa kulivusha taifa wako mtaani halafu wajinga wako madarakani.
Huyo jamaa sijui aliweza vipi kuwa mkuu wa mkoa aisee.
Yaani unaacha watu wenye CV za maana huko halafu unatuletea papaa kuwa RC??
Do not confuse loyalty to/from mediocrity...Hazifanani kabisa. Hawa chawa hawana loyalty yeyote ile zaidi ya kutafuta mtu wa kumnyonya na akiishiwa damu wanahamia kwingine....nchi zote duniani teuzi za kisiasa zinaangalia kwanza loyalty kabla ya kitu kingine
Hii cancer mpya sijui tiba yake itapatikana wapi...Tuna set precedence mbaya sana sana kama nchiSaivi sera yakuinua wamama kuna visichana vijeuri na vinafki visivyoelewa majukumu vimepewa ofisi vinaudhi mmmno! Kibinti kinakuvutia mdomo akitokea mchepuko wake kinacheka mpaka kinajamba mxiiiuuuuu
Ukweli mchunguUPO SAHIHI naunga mkono hoja NCHI hii ina WAJINGA wengi sana zamani walikuwa WASIO SOMA lakini sasa hivi WASOMI ndio WAJINGA hawajitambui Hawajui nani kawapa UMASIKINI BABA zao mpaka wao WAKAURITHI Wasomi wetu ni Wajinga sana.
I TRUST Mh. Rais ameshaliona hili and she will do what is not expected by most of us...I pray that she succeeds in her intentions, maana hao mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo a.k.a chawa ndiyo waliotishio zaidi.Sasa muelewe Muhimu wa katiba mpya
Sasa hapo nani mwerevu?Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.