Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?

Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.

Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
 
Ashitakiwe majaliwa mkuu anatu disappoint sana majaliwa waziri mkuu si yule wa magufuli aisee
 
Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?

Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.

Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Ashtakiwe Samia Suluhu Hassan kwa kutuahidi maisha mazuri halafu hamna kitu.Shahidi wa kwanza ni mimi ingawa nampenda sana.
 
Kiongozi wa upinzani aliwahi kuwa na kesi ya ugaidi
 
....Halafu wakishitakiwa, mnasema 'hakuna mahakama Tanzania'

... hii ni serikali ya 'waonevu hawa'.
...hao viongozi 'wanasingiziwa'...

Hatahivyo, hatuwezi kujilinganisha kwa namna yeyote ile, ikiwa tuna mifumo tofauti ya Kiserikali, Kimahakama n.k na hao Waisraeli, yani, hata Utamaduni. wetu na wao haulingani.

=======

Mbowe sio Kiongozi?
 
Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?

Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.

Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Wote wadogo na wakubwa.
 
Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?

Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.

Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Hakuna, ukimshaki utawekewa Kampeni ya kukudhalilisha. Mwisho
utauwawa.

Hii ni nchi ya kifalme kama Saudi. Familia yake, washirika wake (kwetu ni CCM)ndio wenye nguvu kuamua kila kitu, biashara, ajira, maisha yako.
 
Back
Top Bottom