BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Tusingekuwa ma Keybord woriour labda tungekuwa na katiba mpya na tungewashitakiMwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?