Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Halindwi na sheria ya kutokushitakiwa?Ashitakiwe majaliwa mkuu anatu disappoint sana majaliwa waziri mkuu si yule wa magufuli aisee
Labda nayeye ana rogwaAshitakiwe majaliwa mkuu anatu disappoint sana majaliwa waziri mkuu si yule wa magufuli aisee
Ashtakiwe Samia Suluhu Hassan kwa kutuahidi maisha mazuri halafu hamna kitu.Shahidi wa kwanza ni mimi ingawa nampenda sana.Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
JUMA ANAWALINDAMwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Kwa ivo ndumba ndiyo kila kitu?Sisi hatuna mambo ya kushtakiana ni kurogana tu
yaah, sayansi ya muafrikaKwa ivo ndumba ndiyo kila kitu?
Kwa kweli hapo ndipo wauza karanga wanapoponda wasomi wetu.JUMA ANAWALINDA
Hiii Nchi kwa kweli imeoza kauli za hovyo nyingi. Mno imagine watu mnaamini katumwa na Mungu lkn watu wanakupiga jujuLabda nayeye ana rogwa
Imagine mkuu wa wilaya anashinda kesi ya jinai kirahisi unazan nan kwenye high ranking official anaweza shitakiwa mkuuHalindwi na sheria ya kutokushitakiwa?
Hizo ni za ndaniiiii.Hiii Nchi kwa kweli imeoza kauli za hovyo nyingi. Mno imagine watu mnaamini katumwa na Mungu lkn watu wanakupiga juju
Wote wadogo na wakubwa.Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Hakuna, ukimshaki utawekewa Kampeni ya kukudhalilisha. MwishoMwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Utamaduni wetu ni kuheshimu hata upumbavu wa mtu mkubwa (kiongozi).hata Utamaduni. wetu na wao haulingani.