Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?

Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.

Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
Tusingekuwa ma Keybord woriour labda tungekuwa na katiba mpya na tungewashitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…