joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #241
Ninarudia tens, the best and the only means to curb the spread of Corona virus is through " Social distance of any how ", testing has very little effect in prevention of transmission", whoever spends his/her precious resources on mass testing, doesn't know what is doing".Wapi nimesema mass testing hupunguza maambuzi, we jamaa kweli tahira..hyo inasaidia km mtajipanga ki vipi kimatibabu wala sio eti kupunguza maambukizi...
Au we raha yako watu waanze kujiangukia barabarani tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Source trump[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninarudia tens, the best and the only means to curb the spread of Corona virus is through " Social distance of any how ", testing has very little effect in prevention of transmission", whoever spends his/her precious resources on mass testing, doesn't know what is doing".
Trump Tells Americans They Don’t Need Coronavirus Testing
Sent using Jamii Forums mobile app
The same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown 🤣🤣
Li lini Trump amesema kuwe na lockdown Marekani?The same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown 🤣🤣
Ukiacha korona kuna vita ya chini chini inaendelea kusini mwa Tanzania.Vipi naona Magu kaamuru Airspace ifungwe na wafanyikazi wawekwe kwarantin at their own expenses?
wanasema mashirika yote yamesimamisha safari...wakati kuna ndege zilikuwa zitue JNIA before cancellation happened .Vipi naona Magu kaamuru Airspace ifungwe na wafanyikazi wawekwe kwarantin at their own expenses?
Nimelisema hili tangu tunaanza kuzungumza kuhusu Corona, ila kwasababu amesema Trump, ninaamini sasa mtaamini, ninyi wazungu kwenu ni zaidi ya Mungu.
Most states have already declared state of Emergency .Newyork wako lockdown .Li lini Trump amesema kuwe na lockdown Marekani?
Huu ndio ujinga wenu, mkishindwa mnazunguka ili kuficha aibu yenu. Trump hajawahi kusema kwamba " lockdown " sio muhimu, ila alisema kwamba wamarekani wanahitaji kurudi kazini ili kuokoa uchumi.The same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown [emoji1787][emoji1787]
Acha kuleta habari za state/city government. Nimekuuliza ni lini Trump (federal government) ametoa tamko la lock down?Most states have already declared state of Emergency .Newyork wako lockdown .
nimekuwa nikifuata mijadala yako kuhusu corona,ulianza kwa kusema Tanzania ina iga model ya US,alafu ukaenda Japan,Sweden sasa umerudi US , hauna msimamo umekuwa ukizunguka tu.Huu ndio ujinga wenu, mkishindwa mnazunguka ili kuficha aibu yenu. Trump hajawahi kusema kwamba " lockdown " sio muhimu, ila alisema kwamba wamarekani wanahitaji kurudi kazini ili kuokoa uchumi.
Hata Magufuli hasemi kwamba "lockdown" sio njia nzuri, yeye anasema uchumi wetu hauwezi kuhimili " lockdown " kwa sasa, lakini wote wanajua kwamba ' lockdown " is the last bullet in case things get worse like now in USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ka tubu jomba, unafanya kufuru tu kw maneno mengine yasiyokuwa na tija.Nimelisema hili tangu tunaanza kuzungumza kuhusu Corona, ila kwasababu amesema Trump, ninaamini sasa mtaamini, ninyi wazungu kwenu ni zaidi ya Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani hizi states ziko Tanzania ama US?Acha kuleta habari za state/city government. Nimekuuliza ni lini Trump (federal government) ametoa tamko la lock down?
Joto la jiwe hajielewi km ywataka nn shida yake, ye bora a comment tuThe same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown [emoji1787][emoji1787]
Wewe inaonesha wazi hujui hata mfumo wa uongozi Marekani ulivyo.kwani hizi states ziko Tanzania ama US?
Onyesha sehemu nimesema Tanzania inaiga USA. Tatizo hamtaki kukubaki kwamba hamjui mnalofanya mnabaki kutapatapa, muda wote nimesema Tanzania tunaiga Japan ambayo haipimi kwa wingi lakini maambukizi sio mengi vs Kenya mnaiga USA ambao mnapima kwa wingi lakini maambukizi yapo juu, tutaigaje USA ambayo ndio nchi iliyopima watu wengi kuliko zote?.nimekuwa nikifuata mijadala yako kuhusu corona,ulianza kwa kusema Tanzania ina iga model ya US,alafu ukaenda Japan,Sweden sasa umerudi US , hauna msimamo umekuwa ukizunguka tu.
Baada ya Trump kusema "mass testing" muhimu, sasa hivi mumeaibika mnatafuta sehemu za kujificha. Hahahaha, hahahaha.Joto la jiwe hajielewi km ywataka nn shida yake, ye bora a comment tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani naona unazikubali kauliza yule babu kishenzi, mpka unazunguka ukipost trump tu[emoji1787]Baada ya Trump kusema "mass testing" muhimu, sasa hivi mumeaibika mnatafuta sehemu za kujificha. Hahahaha, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo ni uongo mass testing ndio imeifanya USA kuwa na idadi ya watu wengi wa corona[emoji848][emoji848]Onyesha sehemu nimesema Tanzania inaiga USA. Tatizo hamtaki kukubaki kwamba hamjui mnalofanya mnabaki kutapatapa, muda wote nimesema Tanzania tunaiga Japan ambayo haipimi kwa wingi lakini maambukizi sio mengi vs Kenya mnaiga USA ambao mnapima kwa wingi lakini maambukizi yapo juu, tutaigaje USA ambayo ndio nchi iliyopima watu wengi kuliko zote?.
Lazima mkubali ukweli kwamba yote niliyokuwa nikiwaambia sasa hivi yanathibitika, ninyi mlikua mnaitumia USA kama mfano wa nchi yenye kufanya "mass resting", sasa kwa kauli hii ya Trump kusema kwamba sio muhimu, mumeumbuka sasa mnatafuta jinsi ya kuficha hiyo fedhea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu USA ndio mlikua mnaitumia kama nchi ya mfano na iliyokua mfano katika " mass testing". Mtalazimika kutafuta nchi zingine zenye kufanya " mass testing" kuwa benchmark yenu, ila itakua vigumu sana kuzipata kwasababu duniani kote wameacha kufanya hiyo ujinga.Yani naona unazikubali kauliza yule babu kishenzi, mpka unazunguka ukipost trump tu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app