Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Wapi nimesema mass testing hupunguza maambuzi, we jamaa kweli tahira..hyo inasaidia km mtajipanga ki vipi kimatibabu wala sio eti kupunguza maambukizi...

Au we raha yako watu waanze kujiangukia barabarani tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninarudia tens, the best and the only means to curb the spread of Corona virus is through " Social distance of any how ", testing has very little effect in prevention of transmission", whoever spends his/her precious resources on mass testing, doesn't know what is doing".
Trump Tells Americans They Don’t Need Coronavirus Testing

Source trump[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown 🤣🤣
Li lini Trump amesema kuwe na lockdown Marekani?
 
Vipi naona Magu kaamuru Airspace ifungwe na wafanyikazi wawekwe kwarantin at their own expenses?
wanasema mashirika yote yamesimamisha safari...wakati kuna ndege zilikuwa zitue JNIA before cancellation happened .
. What made them change their mind though? 🤔

1586711015221.png
 
The same Trump mwenye alikuwa anaambia watu haina haja ya lockdown ju situation iko under control Kisha baada ya 2wks wakaenda lockdown [emoji1787][emoji1787]
Huu ndio ujinga wenu, mkishindwa mnazunguka ili kuficha aibu yenu. Trump hajawahi kusema kwamba " lockdown " sio muhimu, ila alisema kwamba wamarekani wanahitaji kurudi kazini ili kuokoa uchumi.

Hata Magufuli hasemi kwamba "lockdown" sio njia nzuri, yeye anasema uchumi wetu hauwezi kuhimili " lockdown " kwa sasa, lakini wote wanajua kwamba ' lockdown " is the last bullet in case things get worse like now in USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most states have already declared state of Emergency .Newyork wako lockdown .
Acha kuleta habari za state/city government. Nimekuuliza ni lini Trump (federal government) ametoa tamko la lock down?
 
Huu ndio ujinga wenu, mkishindwa mnazunguka ili kuficha aibu yenu. Trump hajawahi kusema kwamba " lockdown " sio muhimu, ila alisema kwamba wamarekani wanahitaji kurudi kazini ili kuokoa uchumi.

Hata Magufuli hasemi kwamba "lockdown" sio njia nzuri, yeye anasema uchumi wetu hauwezi kuhimili " lockdown " kwa sasa, lakini wote wanajua kwamba ' lockdown " is the last bullet in case things get worse like now in USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuwa nikifuata mijadala yako kuhusu corona,ulianza kwa kusema Tanzania ina iga model ya US,alafu ukaenda Japan,Sweden sasa umerudi US , hauna msimamo umekuwa ukizunguka tu.
 
Onyesha sehemu nimesema Tanzania inaiga USA. Tatizo hamtaki kukubaki kwamba hamjui mnalofanya mnabaki kutapatapa, muda wote nimesema Tanzania tunaiga Japan ambayo haipimi kwa wingi lakini maambukizi sio mengi vs Kenya mnaiga USA ambao mnapima kwa wingi lakini maambukizi yapo juu, tutaigaje USA ambayo ndio nchi iliyopima watu wengi kuliko zote?.

Lazima mkubali ukweli kwamba yote niliyokuwa nikiwaambia sasa hivi yanathibitika, ninyi mlikua mnaitumia USA kama mfano wa nchi yenye kufanya "mass resting", sasa kwa kauli hii ya Trump kusema kwamba sio muhimu, mumeumbuka sasa mnatafuta jinsi ya kuficha hiyo fedhea.

Kwhyo ni uongo mass testing ndio imeifanya USA kuwa na idadi ya watu wengi wa corona[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani naona unazikubali kauliza yule babu kishenzi, mpka unazunguka ukipost trump tu[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu USA ndio mlikua mnaitumia kama nchi ya mfano na iliyokua mfano katika " mass testing". Mtalazimika kutafuta nchi zingine zenye kufanya " mass testing" kuwa benchmark yenu, ila itakua vigumu sana kuzipata kwasababu duniani kote wameacha kufanya hiyo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom