Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Don't be amazed by just mere numbers
Let's do some simple math
Japan has 2935 cases and 69 deaths that means there is 1 death in every 38 people
USA has 277985 people and 7146 deaths that is approximately 1 death in every 43 people
An intelligent person will be able to interpret the data and determine which between the two is more affected.
 
Sasa si unapima suspected cases ambazo unazo, kama suspected cases tulizokuwa nazo ni 300 unataka tuziongeze ili tuwe sawa na nyinyi? Au ulitakaje?
 
Wiki Tatu na zaidi sasa tangu mgonjwa wa kwanza ajulikane Tanzania, kama kuna watu wameambukizwa tunategemea waanze kuugua na kujitokeza katika Hospitali kama yule rubani wenu ambaye ndani ya wiki moja aliugua na kwenda Hospital, mbona hawsjitokezi hao walioambukizwa ambao hatujawajua?.

Lazima mkubali kwamba katika hili pia mnamapungufu makubwa sana, mnapaswa kujifunza toka kwetu, kama USA inajifunza toka China, iweje ninyi mnakua wabishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You are so stupidly minded to the extent you believe your own creation.
 
And Kenya has six (6) times more people than Tz?, hence the difference?
 
Suspected cases wote wamepimwa, regardless ni wangapi, hao ndio suspected cases, nitauliza latest numbers, i suggest you inquire the same from official govt. departments.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..
kwa hivo wacheni kurusha rusha midomo mkisema watu ni wajinga
 
Sasa kama hatuna wagonjwa wapya tutangaze nini?

Nimeona hata uelewa wako wa nini kinachoendelea ni mdogo sana, matangazo ya waziri kila siku anatangaza matokeo ya maabara, tayari mnazo sampuli kibao mnazohangaika kupima kwa kutumia maabara moja, na kila siku mnatoa habari ya matokeo mpaka siku hizo samples zitaisha. Matokeo yanaweza yakawa mazuri kwa kusema wote tuliowapima leo hakuna aliyegunduliwa kuwa nacho.
Kusitisha kutoa taarifa aidha itakua mashini zimegoma au mnakusanya kusanya.
Nawaambia muache kuchekelea Wakenya.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..
kwa hivo wacheni kurusha rusha midomo mkisema watu ni wajinga
Na umejibiwa, suspected cases wote wamepimwa, na wanaendelea kupimwa jinsi wanavyojitokeza
 
The impact of COVID is not on number of deaths, is on the burden it puts to the heath system, economy and lives if that country, that is mainly determined by the number of people infected.

While in Japan people are moving freely, in USA the country is at stand still. The most important is the number of sick people are the ones who uses health system services, which are overstretched

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtumishi wa Wizara?
 
The only country that have defeated pandemic to some extent is SouthKorea largely due to extensive testing for coronavirus .
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..
kwa hivo wacheni kurusha rusha midomo mkisema watu ni wajinga
Katika hili hatutowacha kuwaambia ukweli, kwasababu dawa ya jipu ni kulipasua. Mbinu zenu mnazotumia katika kukabiliana na Corona, sio sahihi kabisa, na idadi itaendelea kuongezeka kila siku hadi mtakapobadilisha mbinu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…