joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ulinzi uzidi mipakani tena baada ya tangazo hili
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala mwathadan
Wazee wa " mass testing without intervention ". Hapo ni mwanzo tu, wajiandae kubeba mzigo wa ujinga wao.Update covid19 infection Kenya
+14 infected to sum up to 172 in total
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Ilipasa hzo mask za Jack Ma wala tusizitumie
kwanini? nawewe ni wa kuamini conspiracy theories?Ilipasa hzo mask za Jack Ma wala tusizitumie
Mm hawa watu siwaamini sn huwa wana ajenda zao za sirikwanini?
Ukiumwa na kulala nyumbani kabla ya kufa na ukiwa na afya na kuzalisha na kuwa na hela kununua bidhaa zake, wapi Mchina anafaidika? Upotoshaji wa namna hii achia Gwajima na wafuasi wake mbumbumbu!Mm hawa watu siwaamini sn huwa wana ajenda zao za siri
Tunatofautiana katika kuamini mkuu, hii ni kutokana na historia ya ugonjwa lkn pia mm ni mfuasi wa conspiracy theories so I know what I have said and I believe in it, no one can change my mind kwa namna yoyote ileUkiumwa na kulala nyumbani kabla ya kufa na ukiwa na afya na kuzalisha na kuwa na hela kununua bidhaa zake, wapi Mchina anafaidika? Upotoshaji wa namna hii achia Gwajima na wafuasi wake mbumbumbu!
Kuhusu Gwajima, tng apate ile skendo huwa simsikilizi kabisaUkiumwa na kulala nyumbani kabla ya kufa na ukiwa na afya na kuzalisha na kuwa na hela kununua bidhaa zake, wapi Mchina anafaidika? Upotoshaji wa namna hii achia Gwajima na wafuasi wake mbumbumbu!
Kuna baadhi ya vitu hakuna haja ya msaada km tunaamini tunaweza kwnn tusitumie viwanda vyetu ktk kudhalisha vitu vdg km hv? Kiwanda hicho apo kinazalisha mask ya nn kutumia mask kutoka chinaUkiumwa na kulala nyumbani kabla ya kufa na ukiwa na afya na kuzalisha na kuwa na hela kununua bidhaa zake, wapi Mchina anafaidika? Upotoshaji wa namna hii achia Gwajima na wafuasi wake mbumbumbu!