mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Linganisha hizo Nchi na Tanzania in terms of population, wealth and landmass utagundua Tz wanachezea watu akili.
Eritrea na Namibia sio visiwa na population iko chini mno na sio masikini wa kutupwa.
Corona iko Tz Tena kwa wingi Ila Serikali ya 7% growth inaficha kwa minajili ya uchaguzi Mkuu.