Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Hao wanaokufa kwa wingi mbona hawaonekani? Tuliona Brazil makaburi yalivyokuwa yanaota kama uyoga. Tukaambiwa Tanzania wanazika usiku ili wasionekane, lakini makaburi mapya hayaonekani ki-vile. Inakuwaje ambao hawaiamini Serikali wanashindwa kutuonyesha makaburi mapya kila uchwao?
Kama mtu anakamatwa kwa kuicheka picha ya Rais, sioni Nani atadhubutu kupost anything kwa social media... Serikali yenu imewaweka makwapani, mpo mpo tu Kama robots Yani mnakuwa programed vitu vya kufanya, kusema...Kama si misifa unawekwa ndani...praise Team vile tulikuwa miaka ya 80s.
 
Ingekuwa ni swala la kukamata watu hovyo tungeshika hata wewe kuitumia hiyo picha hapo dp,lakini nini hasa lengo la kuitazama picha ya mkuu wa nchi kisha ukacheka!!!!alienda kupimwa akili labda aliisha anza kuwehuka.kakutwa yuko sawa ndio maana akaachiwa.
 
Eaaaa1rXgAcZuCA

Eaaaa-yXsAAVAy9

EaaabH-WkAEqk6_

EaaabP_XQAA-0qb
 
Ingekuwa ni swala la kukamata watu hovyo tungeshika hata wewe kuitumia hiyo picha hapo dp,lakini nini hasa lengo la kuitazama picha ya mkuu wa nchi kisha ukacheka!!!!alienda kupimwa akili labda aliisha anza kuwehuka.kakutwa yuko sawa ndio maana akaachiwa.
Mngenishika Kama Maxence Mello?😂😂 Nchi ya kibepari.

So in Tz mtu anayeshukiwa kuwa ni wazimu hivi hutiwa mbaroni, kutupwa korokoroni, kufunguliwa mashtaka Kisha anapimwa Kama Yuko sawa? 😁
Only in Tz 😂😂
 
So in Tz mtu anayeshukiwa kuwa ni wazimu hivi hutiwa mbaroni, kutupwa korokoroni, kufunguliwa mashtaka Kisha anapimwa Kama Yuko sawa? [emoji16]
Only in Tz [emoji23][emoji23]
Wewe elewa hivyo,usiulize sana.

Kuna namna nyingi ya kupima akili za mtu,anazo ameachiwa.
 
Si utuambie basi
Wewe unayesema umefichwa,unao ukweli unaoujua unaupata source yako binafsi,ndio utwambie.

Sisi tumeripoti wagonjwa 502 kwa mara mwisho namba kubwa,na wagonjwa 4 namba ndogo kabisa.

Kama kuna sehemu kuna wagonjwa 2300 inabidi wewe sasa ndio uitangazie dunia,na jamii yote ya watz popote ulimwenguni.
 
Sio lazima na hakuna mtu anawalazimisha kutangaza idadi, mnafanya hivyo kwa faida yenu ili kuwaridhisha mabwana zenu ili mupewe mikopo, hatuhitaji mikopo kwahiyo hatulazimiki kutangaza tumeamua kutotangaza.
 
hata sijui unabishana nini hapa na ni wazi tu serekali yenu imewatia gizani...

Mlitoka 509 hadi 4, waliponaje?
Ni watu wangapi mmepima tangu April mlipoacha kutangaza takwimu?
Kama ingekua mnafanya kazi mngekua mnasema wiki hii tumepima 1000 na wote 1000 wametoka negative, lakini hamfanyi hivyo....

Ni sawa sawa tu na JPM atangaze leo kwamba Tanzania hakuna ukimwi kwasababu ya maombi, hivi utakuja hapa ubishane na mimi kwamba hakuna ukimwi tena TZ wakati hata mtoto mdogo atakucheka manake anajua ni porojo tupu!
 
Sio lazima na hakuna mtu anawalazimisha kutangaza idadi, mnafanya hivyo kwa faida yenu ili kuwaridhisha mabwana zenu ili mupewe mikopo, hatuhitaji mikopo kwahiyo hatulazimiki kutangaza tumeamua kutotangaza.
Dawa la Deni ni kulipa, Nani atawakopesha Kama kulipa no matanga? Ona precision Air ndio inawachukua wasafiri from Tuliwakomboa (South Africa) eti juu mnadaiwa na mtu binafsi(Mkulima) 😉
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom