mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kama mtu anakamatwa kwa kuicheka picha ya Rais, sioni Nani atadhubutu kupost anything kwa social media... Serikali yenu imewaweka makwapani, mpo mpo tu Kama robots Yani mnakuwa programed vitu vya kufanya, kusema...Kama si misifa unawekwa ndani...praise Team vile tulikuwa miaka ya 80s.Hao wanaokufa kwa wingi mbona hawaonekani? Tuliona Brazil makaburi yalivyokuwa yanaota kama uyoga. Tukaambiwa Tanzania wanazika usiku ili wasionekane, lakini makaburi mapya hayaonekani ki-vile. Inakuwaje ambao hawaiamini Serikali wanashindwa kutuonyesha makaburi mapya kila uchwao?