Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kuna lab centers kibao zenye uwezo mkubwa kuliko national lab. Wengine wanadai ati watu walioko national lab wanawadanganya wanasiasa kwamba maabara nyingine hazina uwezo wa kupima magonjwa ya milipuko, kumbe wanahodhi hayo mamlaka ili kulipana extraduty za kuchakata samples za nchi nzima.Tukisema suala la ajira eneo la sekta ya afya si lazima mtu awe daktari ndo aajiriwe.
Kunakuwepo na shughuli nyingine nyingi tu ambazo zinaisaida sekta ya afya.
Kila mkoa watakiwa kuwa na maabara, taasisi ya utafiti, na mambo mengine.
Kupitia njia hiyo ajira inakuwa "sorted accordingly".
Kisa wewe unahitaji kwenda huko ndio unata waTz wafe kwahiyo michanjo yao? Ubinafsi wa hali ya juu huu, badilisha uraia na uchukue uraia wa nchi ya Kijani, au walau wa njanoMimi si dalali, nina familia moja Tanzania, na mbili katika nchi tofauti za Ulaya na nazunguka, hivyo sina ujanja ni lazima chanjo niipate.
Cha msingi ni kuangalia ni chanjo ipi watanzania watapatiwa kwa wale ambao itawabidi kupata chanjo.
Lakini suala hili ndugu Tanzania haiwezi kulikwepa.
Tutazunguruka huku na huko lakini mwisho wa siku utasikia watu wanapigwa chanjo.
Ila bado watanzania wana uamuzi wa kuchoma chanjo au kutochoma, hakuna apigae udalali hapa.
Ni maoni tu ya msingi yanayotokana na kusoma kinachoendelea.
Hii ni sayansi ndugu ya chanjo tulizowahi kupata nyumaWafahamu idadi halisi ya watu walokufa India?
Yaitwa "worst human tragedy since partition and Independence".
Nchi yanuka moshi masaa 24 kwa kuchoma maiti.
Pia madalali wapo dhahiri, kama huyo war Criminal Blair na huyu Mbowe, ni madalali tu, Blair kauwa waIraq wangapi kwa ajili ya mafuta, leo aje kutuonyesha mapenzi haya sisi waAfrika, wanavyotubagua kwao namna ile? Kwanini msitumie akili za kichwani wala hata mara moja moja tu?Mimi si dalali, nina familia moja Tanzania, na mbili katika nchi tofauti za Ulaya na nazunguka, hivyo sina ujanja ni lazima chanjo niipate.
Cha msingi ni kuangalia ni chanjo ipi watanzania watapatiwa kwa wale ambao itawabidi kupata chanjo.
Lakini suala hili ndugu Tanzania haiwezi kulikwepa.
Tutazunguruka huku na huko lakini mwisho wa siku utasikia watu wanapigwa chanjo.
Ila bado watanzania wana uamuzi wa kuchoma chanjo au kutochoma, hakuna apigae udalali hapa.
Ni maoni tu ya msingi yanayotokana na kusoma kinachoendelea.
Prof. Lipumba keshachanjwa leo.Chanjo kama imefika ianze kutolewa haraka kuokoa wananchi......
Kwanza james delicious ni baba yako, hilo moja. Pili Umemrithi exponentially. Tatu, wazazi wangu hawajawahi kunichanja chanjo ya majaribio, achilia mbali chanjo kuwa ni ya kivinasaba. , tuendelee kuanzia hapo.Mkuu jadili hoja kimantiki na si ki james delicious! Kwani chanjo za korona zinazuia kifo? Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako wasingekuchanga vaccine za pepopunda,surua,ndui etc tusingekuwa tunaona utopolo wako leo.
Ndo maana nimezungumzia corodination.Kaka kuna lab centers kibao zenye uwezo mkubwa kuliko national lab. Wengine wanadai ati watu walioko national lab wanawadanganya wanasiasa kwamba maabara nyingine hazina uwezo wa kupima magonjwa ya milipuko, kumbe wanahodhi hayo mamlaka ili kulipana extraduty za kuchakata samples za nchi nzima.
Sasa ndio ujiulize, wao wanaweka lockdown na kuchukua kila hatua, kwanini iwe hivyo? Hicho wanachosema sijui worst kitu gani, ni kutengeneza hysteria ili watu wapressurezi serikali zao kununua chanjo au kuchukua zile za mkopo wa ‘masharti nafuu’ tena za majaribio kwa mabilioni ya dollar ili watajirike, BBC wanalipwa pesa ndefu kueneza huo upuuzi, tumieni akili za kichwani na si za makalio walau maramoja moja basi, pleeaseee!!!!Wafahamu idadi halisi ya watu walokufa India?
Yaitwa "worst human tragedy since partition and Independence".
Nchi yanuka moshi masaa 24 kwa kuchoma maiti.
Mimi naelewa kwani India ina population kubwa.Hii ni sayansi ndugu ya chanjo tulizowahi kupata nyuma
Inshort walishagroul hizo chanjo tulizopataga nyuma electromagnetic induction ndo inapukutisha watu wakiwa wamejiaandaa kuleta nyingine babu kubwa
Wachache sana watakaoelewa
Kuna mtu alikulazimisha uwe na maabara moja nchi nzima?Nchi yenye zaidi ya watu milioni 50, wanataka wawe wanafanya vipimo maabara ya Taifa tu. Hiyo akili au matope.
Prof. Lipumba keshachanjwa leo.
Kwanza james delicious ni baba yako, hilo moja. Pili Umemrithi exponentially. Tatu, wazazi wangu hawajawahi kunichanja chanjo ya majaribio, achilia mbali chanjo kuwa ni ya kivinasaba. , tuendelee kuanzia hapo.
Lakini si amechanjwa? Jipange ili ufuate wewe.Amechanjwa za Umoja wa mataifa na si zile kwa ajili ya waTZ wote.
Vifaa ambavyo ni basic na necessary vya kukabiliana na ugonjwa kama mitungi ya oxygen imekuwa shida kuwepo.Sasa ndio ujiulize, wao wanaweka lockdown na kuchukua kila hatua, kwanini iwe hivyo?
Huelewi kitu, ni pesa tu inatafutwa hapa, hatuna pesa za mchezo za kuchukua hiyo mikopo, hiyo kuwekwa kwenye redlist haina tofauti na Economic Sanctions walizowekewa Venezuela ili waruhusu mafuta yao kuchotwa na waMarekani, na walioogoma waliweka Rais wao kivuli kale katoto kanaitw aJuan Guaido, ila walisimama imara, tusikate tamaa....., tushikane mikonoMimi naelewa kwani India ina population kubwa.
Lakini hapohapo India kipo kiwanda cha kutengeneza chanjo za Astra Zeneca.
Dawa hizo si kwa ajili ya Indians bali ni kwa external markets!!
I know what's going on.
Mkuu wamesikia.Huelewi kitu, ni pesa tu inatafutwa hapa, hatuna pesa za mchezo za kuchukua hiyo mikopo, hiyo kuwekwa kwenye redlist haina tofauti na Economic Sanctions walizowekewa Venezuela ili waruhusu mafuta yao kuchotwa na waMarekani, na walioogoma waliweka Rais wao kivuli kale katoto kanaitw aJuan Guaido, ila walisimama imara, tusikate tamaa....., tushikane mikono
Ila Tanzania ndio tuna mitungi mingi au sio? Maana hata lockdown hakuna, inakuaje hii?Vifaa ambavyo ni basic na necessary vya kukabiliana na ugonjwa kama mitungi ya oxygen imekuwa shida kuwepo.
Wahindi wanaambiwa wanunue wenyewe kwenye black market na pia wajihudumie wenyewe.
Kimsingi India ni nchi maskini na ina misongamano mikubwa na ile mikusanyiko kama ya Kumbh Mela kule mto Ganges.
Hivyo fataki la Covid lilipolipuka ndo ikawa zahma ambayo serikali ya mzee Modi imesalimu amri.
Serikali ya Modi inawajali watu wachache matajiri, wafanyabiashara huku ukata ukiwafanya wahindi kuanza kurudi vijijini na kueneza Covid hukohuko vijijini.
Serikali ikashindwa kutoa fedha kwa ajili ya wananchi maskini.
Hii ni sayansi Kaka lzm ujue kabisaMimi naelewa kwani India ina population kubwa.
Lakini hapohapo India kipo kiwanda cha kutengeneza chanjo za Astra Zeneca.
Dawa hizo si kwa ajili ya Indians bali ni kwa external markets!!
I know what's going on.