Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

Nakimbilia chanjo ya nini kama kufa nitakufa Tu muda ukiwadia
 
Tukisema suala la ajira eneo la sekta ya afya si lazima mtu awe daktari ndo aajiriwe.

Kunakuwepo na shughuli nyingine nyingi tu ambazo zinaisaida sekta ya afya.

Kila mkoa watakiwa kuwa na maabara, taasisi ya utafiti, na mambo mengine.

Kupitia njia hiyo ajira inakuwa "sorted accordingly".
Kaka kuna lab centers kibao zenye uwezo mkubwa kuliko national lab. Wengine wanadai ati watu walioko national lab wanawadanganya wanasiasa kwamba maabara nyingine hazina uwezo wa kupima magonjwa ya milipuko, kumbe wanahodhi hayo mamlaka ili kulipana extraduty za kuchakata samples za nchi nzima.
 
Ndiyo maana magufuli aliwaweza Sana

Tunamkumbuka

Covid majizi tu
Wafahamu idadi halisi ya watu walokufa India?

Yaitwa "worst human tragedy since partition and Independence".

Nchi yanuka moshi masaa 24 kwa kuchoma maiti.
 
Mimi si dalali, nina familia moja Tanzania, na mbili katika nchi tofauti za Ulaya na nazunguka, hivyo sina ujanja ni lazima chanjo niipate.

Cha msingi ni kuangalia ni chanjo ipi watanzania watapatiwa kwa wale ambao itawabidi kupata chanjo.

Lakini suala hili ndugu Tanzania haiwezi kulikwepa.

Tutazunguruka huku na huko lakini mwisho wa siku utasikia watu wanapigwa chanjo.

Ila bado watanzania wana uamuzi wa kuchoma chanjo au kutochoma, hakuna apigae udalali hapa.

Ni maoni tu ya msingi yanayotokana na kusoma kinachoendelea.
Kisa wewe unahitaji kwenda huko ndio unata waTz wafe kwahiyo michanjo yao? Ubinafsi wa hali ya juu huu, badilisha uraia na uchukue uraia wa nchi ya Kijani, au walau wa njano
 
Wafahamu idadi halisi ya watu walokufa India?

Yaitwa "worst human tragedy since partition and Independence".

Nchi yanuka moshi masaa 24 kwa kuchoma maiti.
Hii ni sayansi ndugu ya chanjo tulizowahi kupata nyuma

Inshort walishagroul hizo chanjo tulizopataga nyuma electromagnetic induction ndo inapukutisha watu wakiwa wamejiaandaa kuleta nyingine babu kubwa

Wachache sana watakaoelewa
 
Mimi si dalali, nina familia moja Tanzania, na mbili katika nchi tofauti za Ulaya na nazunguka, hivyo sina ujanja ni lazima chanjo niipate.

Cha msingi ni kuangalia ni chanjo ipi watanzania watapatiwa kwa wale ambao itawabidi kupata chanjo.

Lakini suala hili ndugu Tanzania haiwezi kulikwepa.

Tutazunguruka huku na huko lakini mwisho wa siku utasikia watu wanapigwa chanjo.

Ila bado watanzania wana uamuzi wa kuchoma chanjo au kutochoma, hakuna apigae udalali hapa.

Ni maoni tu ya msingi yanayotokana na kusoma kinachoendelea.
Pia madalali wapo dhahiri, kama huyo war Criminal Blair na huyu Mbowe, ni madalali tu, Blair kauwa waIraq wangapi kwa ajili ya mafuta, leo aje kutuonyesha mapenzi haya sisi waAfrika, wanavyotubagua kwao namna ile? Kwanini msitumie akili za kichwani wala hata mara moja moja tu?
 
Mkuu jadili hoja kimantiki na si ki james delicious! Kwani chanjo za korona zinazuia kifo? Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako wasingekuchanga vaccine za pepopunda,surua,ndui etc tusingekuwa tunaona utopolo wako leo.
Kwanza james delicious ni baba yako, hilo moja. Pili Umemrithi exponentially. Tatu, wazazi wangu hawajawahi kunichanja chanjo ya majaribio, achilia mbali chanjo kuwa ni ya kivinasaba. , tuendelee kuanzia hapo.
 
Kaka kuna lab centers kibao zenye uwezo mkubwa kuliko national lab. Wengine wanadai ati watu walioko national lab wanawadanganya wanasiasa kwamba maabara nyingine hazina uwezo wa kupima magonjwa ya milipuko, kumbe wanahodhi hayo mamlaka ili kulipana extraduty za kuchakata samples za nchi nzima.
Ndo maana nimezungumzia corodination.

Yaani kwanza kuna kamati ya ushauri ya Covid yaani government scientific advisers.

Hawa wanasimamia Data zote kuanzia mtu anaehisiwa ana Covid na ameripoti hospitali au zahanati data zaingizwa kwenye mfumo.

Pili, mfumo wa computer ambao wapokea Data na wafanya "data analysis".

Tatu, anakuwepo waziri anaeshughulikia Covid akimsaidia waziri wa Afya kuhakikisha mipango ya chanjo, vifaa na mambo mengine ya logisticts yapo bomba.

Lakini kamati ya ushauri inahusika na kila kitu ikiwemo kampeni juu ya kuwepo kwa ugonjwa na njia za kukabiliana nao.

Pia kamati inasimamia media briefing na kuwasiliana na vyombo vya habari ili wananchi akili ziwekwe sawa waondoe hofu huku wapiga kazi.

Tunaweza kama nchi ila kwa sasa sidhani.
 
Wafahamu idadi halisi ya watu walokufa India?

Yaitwa "worst human tragedy since partition and Independence".

Nchi yanuka moshi masaa 24 kwa kuchoma maiti.
Sasa ndio ujiulize, wao wanaweka lockdown na kuchukua kila hatua, kwanini iwe hivyo? Hicho wanachosema sijui worst kitu gani, ni kutengeneza hysteria ili watu wapressurezi serikali zao kununua chanjo au kuchukua zile za mkopo wa ‘masharti nafuu’ tena za majaribio kwa mabilioni ya dollar ili watajirike, BBC wanalipwa pesa ndefu kueneza huo upuuzi, tumieni akili za kichwani na si za makalio walau maramoja moja basi, pleeaseee!!!!
 
Hii ni sayansi ndugu ya chanjo tulizowahi kupata nyuma

Inshort walishagroul hizo chanjo tulizopataga nyuma electromagnetic induction ndo inapukutisha watu wakiwa wamejiaandaa kuleta nyingine babu kubwa

Wachache sana watakaoelewa
Mimi naelewa kwani India ina population kubwa.

Lakini hapohapo India kipo kiwanda cha kutengeneza chanjo za Astra Zeneca.

Dawa hizo si kwa ajili ya Indians bali ni kwa external markets!!

I know what's going on.
 
Kwanza james delicious ni baba yako, hilo moja. Pili Umemrithi exponentially. Tatu, wazazi wangu hawajawahi kunichanja chanjo ya majaribio, achilia mbali chanjo kuwa ni ya kivinasaba. , tuendelee kuanzia hapo.

Akili zako zimeenda na mwendazake kama alivyowapumbaza.
 
Sasa ndio ujiulize, wao wanaweka lockdown na kuchukua kila hatua, kwanini iwe hivyo?
Vifaa ambavyo ni basic na necessary vya kukabiliana na ugonjwa kama mitungi ya oxygen imekuwa shida kuwepo.

Wahindi wanaambiwa wanunue wenyewe kwenye black market na pia wajihudumie wenyewe.

Kimsingi India ni nchi maskini na ina misongamano mikubwa na ile mikusanyiko kama ya Kumbh Mela kule mto Ganges.

Hivyo fataki la Covid lilipolipuka ndo ikawa zahma ambayo serikali ya mzee Modi imesalimu amri.

Serikali ya Modi inawajali watu wachache matajiri, wafanyabiashara huku ukata ukiwafanya wahindi kuanza kurudi vijijini na kueneza Covid hukohuko vijijini.

Serikali ikashindwa kutoa fedha kwa ajili ya wananchi maskini.
 
Mimi naelewa kwani India ina population kubwa.

Lakini hapohapo India kipo kiwanda cha kutengeneza chanjo za Astra Zeneca.

Dawa hizo si kwa ajili ya Indians bali ni kwa external markets!!

I know what's going on.
Huelewi kitu, ni pesa tu inatafutwa hapa, hatuna pesa za mchezo za kuchukua hiyo mikopo, hiyo kuwekwa kwenye redlist haina tofauti na Economic Sanctions walizowekewa Venezuela ili waruhusu mafuta yao kuchotwa na waMarekani, na walioogoma waliweka Rais wao kivuli kale katoto kanaitw aJuan Guaido, ila walisimama imara, tusikate tamaa....., tushikane mikono
 
Mkuu wamesikia.

Wizara ya Afya imetoa tamko mida hii kukataza mikusanyiko.
 
Vifaa ambavyo ni basic na necessary vya kukabiliana na ugonjwa kama mitungi ya oxygen imekuwa shida kuwepo.

Wahindi wanaambiwa wanunue wenyewe kwenye black market na pia wajihudumie wenyewe.

Kimsingi India ni nchi maskini na ina misongamano mikubwa na ile mikusanyiko kama ya Kumbh Mela kule mto Ganges.

Hivyo fataki la Covid lilipolipuka ndo ikawa zahma ambayo serikali ya mzee Modi imesalimu amri.

Serikali ya Modi inawajali watu wachache matajiri, wafanyabiashara huku ukata ukiwafanya wahindi kuanza kurudi vijijini na kueneza Covid hukohuko vijijini.

Serikali ikashindwa kutoa fedha kwa ajili ya wananchi maskini.
Ila Tanzania ndio tuna mitungi mingi au sio? Maana hata lockdown hakuna, inakuaje hii?
 
Mimi naelewa kwani India ina population kubwa.

Lakini hapohapo India kipo kiwanda cha kutengeneza chanjo za Astra Zeneca.

Dawa hizo si kwa ajili ya Indians bali ni kwa external markets!!

I know what's going on.
Hii ni sayansi Kaka lzm ujue kabisa
 
Back
Top Bottom