Ugunduzi wa kuiba kuraJarida la Global Innovation Index limeionyesha Tanzania kuwa nchi ya 88 katika ugunduzi kwa mwaka 2020. Jarida hilo linatolewa na World Intellectual Property Organization, WIPO.
Tanzania imekuwa ni nchi ya pili kwa Afrika Mashariki, ya kwanza ikiwa ni Kenya ambayo imeshika nafasi ya 86. Rwanda ni ya 91 na Uganda imekuwa ni nchi ya 114
Jarida hilo limeiweka Switzerland (Uswizi) kuwa Nchi ya kwanza kwa ugunduzi ikifuatiwa na Sweden na Marekani.
Aidha nchi tatu za mwisho kwa Ugunduzi ni Yemen, Guinea na Myanmar.
Release of the Global Innovation Index 2020: Who Will Finance Innovation?
Kutajwa sio shida bali uhalisia ndio muhimu.Tanzania imetajwa kati ya nchi tatu za juu katika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa uchumi wa ubunifu zaidi mnamo 2020. Global Innovation Index, ni kipimo cha kila mwaka cha utendaji wa uvumbuzi wa uchumi wa karibu uchumi 130 ulimwenguni.
VIVA MAGUFULI
View attachment 1557471
Bia yetu hulipotea ndugu. Karibu tenaHabari mbaya kwa wakala wa Mabeberu
Tanzania imetajwa kati ya nchi tatu za juu katika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa uchumi wa ubunifu zaidi mnamo 2020. Global Innovation Index, ni kipimo cha kila mwaka cha utendaji wa uvumbuzi wa uchumi wa karibu uchumi 130 ulimwenguni.
VIVA MAGUFULI
View attachment 1557471
Bia yetu hulipotea ndugu. Karibu tena
Pwa mkuuWananionea Mkuu huwa napigwa ban za miezi
Unajua maana ya uvumbuzi mkuu? 😳Tanzania ingeweza kuwa nafasi ya juu kama mambo ya ugunduzi yangepewa nafasi.
Kuna watu waligundua helicopter badala ya kusaidiwa wakaanza kuulizwa vibali.
Kuna watu walizalisha umeme wakaanza kuulizwa vyeti kama sio rai kuingilia kati sijui ingekuwaje.
Kuna watu wanatengeneza generator za umeme tena zinatumia solar wengine wanatengeneza incubator lakini hawapoti sapoti inayostahili juzijuzi mwingine katengeneza bajaj hiyo ni mifano michache.
Kuna uzi ulishakuja humu ukisema magufuli kashinda kura rais bora barani afrika. Naona mmekuja kivingine.Tanzania imetajwa kati ya nchi tatu za juu katika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa uchumi wa ubunifu zaidi mnamo 2020. Global Innovation Index, ni kipimo cha kila mwaka cha utendaji wa uvumbuzi wa uchumi wa karibu uchumi 130 ulimwenguni.
VIVA MAGUFULI
View attachment 1557471
hapo unalikuta linaongea huu ujinga lipo kwa shemeji yake linaangalia tv.....we unachukulia ubunifu maana yake nini ukisikia kila siku miundombinu inaongezwa unaelewa nnKutajwa sio shida bali uhalisia ndio muhimu.
Kipimo cha ubunifu wa uchumi sio mpaka utajwe huko ndio utoe pongezi.
Tuwe tunaangalia vitu vya kupongezana.
😂😂 Roho ya lissu ikutoke funga na kuomba ikutoke!.. mkuu hamia chauma tule wali lishe..Ubunifu huo umesaidia vipi Watanzania? Au ni Ubunifu UCHWARA?
kongole kwa visionary reader magufuri ...wataelewa tu..... #maendeleohayanavyamaTanzania imetajwa kati ya nchi tatu za juu katika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa uchumi wa ubunifu zaidi mnamo 2020. Global Innovation Index, ni kipimo cha kila mwaka cha utendaji wa uvumbuzi wa uchumi wa karibu uchumi 130 ulimwenguni.
VIVA MAGUFULI
View attachment 1557471
😂😂 Roho ya lissu ikutoke funga na kuomba ikutoke!.. mkuu hamia chauma tule wali lishe..
Naona we umekaa na wifi zako mnachambua mchele. Elewa kilichoandikwa au subiri kuwekwa Kati.hapo unalikuta linaongea huu ujinga lipo kwa shemeji yake linaangalia tv.....we unachukulia ubunifu maana yake nini ukisikia kila siku miundombinu inaongezwa unaelewa nn
ugunduzi unaendelea, laiti gunduzi za zamani zisingeendelezwa nadhani ulimwengu usingefika ulipo, unaeza gundua kitu kilichopo bt kikawa na mifumo bora zaid hivo kikafaa zaidi kwa matumizi.helkopter gani mpya unaigundua leo mkuu.
maana zipo za kizungu ambazo tayari zimewekeza utaratibu namna ya kufanya kazi, hiyo yako sio mpya na haiko salama, lazima tukukabe usijeangukia nyumba za watu,au ukaanguka nayo porini huko.
wewe gundua dawa ya ukimwi leo, uone kama kuna kima atakugusa.