Tanzania ni nchi ya 88 kwa Uvumbuzi (Innovation) Duniani na ya pili kwa Afrika Mashariki

Tanzania ni nchi ya 88 kwa Uvumbuzi (Innovation) Duniani na ya pili kwa Afrika Mashariki

Tanzania ingeweza kuwa nafasi ya juu kama mambo ya ugunduzi yangepewa nafasi.

Kuna watu waligundua helicopter badala ya kusaidiwa wakaanza kuulizwa vibali.

Kuna watu walizalisha umeme wakaanza kuulizwa vyeti kama sio rai kuingilia kati sijui ingekuwaje.

Kuna watu wanatengeneza generator za umeme tena zinatumia solar wengine wanatengeneza incubator lakini hawapoti sapoti inayostahili juzijuzi mwingine katengeneza bajaj hiyo ni mifano michache.
Ni kweli kabisa,huku kwetu ukigundua jambo unachukuliwa kama Mhaini wakati wenzetu wanaendelezwa na kupatiwa support
 
Back
Top Bottom