Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,784
Sio kuwa mwanasheria, ni kuwa mwasiasa, ndio kila kitu, hata darasa la saba utaonekana wewe ndio kidume, cha zaidi uwe chama cha wenye nchi.Ila ukiwa mwanasheria ukapiga kelele kwenye majukwaa ya kisiasa ndo unaonekana wa maana sana