balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hiyo ni wakati ule hata Tz Hanga,Sadala,Abdala majura,Nk waliuawa.Kenya ya leo demokrasia imetamalaki,vinginevyo jaluo asingekuwepo.HuyubMsando ni issue binafsi zaidi.Tom Mboya, Pio Gama Pinto, Aoko, JUMA and Msando, just to mention few, lakusikitisha hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa katika mauaji yote haya tena ya watu wakubwa sana serikalini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaa.
Utafikiri unaishi nchi ya malaika.vidole vyote vinaelekezwa kwa rais...hivi unaona madhara ya kuongoza nchi kwa kifua na uchwara?? inawezekana rais hata hana uhusiano wowote na shooting hii ila kwa vile amejizoesha kukandamiza viongozi wa opposition kwa kuwakamata kila wakati, wengi wameanza kumshuku...ona hapa
Vocal critic of Tanzanian president seriously hurt in gun attack
itabidi sasa ajifunze kuheshimu viongozi wengine
Abdalah Majura yupi aliyeuwawa?, Nimesema visa kama hivi kwetu ni adimu sana, havizidi vitatu, ila Kenya tangu uhuru ni jambo la kawaida sana, unasema wakati ule, umesahau huyo Juma niliyemtaja ni mwaka ja tu alikua akizozana na Rutto, huyu Msando ni juzi akifuatiwa na watu 24 waliouliwa katika ghasia za kupinga matokeo haramu, hawa watu walikua wanatimiza haki yao ya kidemokrasia ya kuandamana lakini walipigwa risasi na kuuliwa, demokrasia gani hiyo iliyotamalaki Kenya?Hiyo ni wakati ule hata Tz Hanga,Sadala,Abdala majura,Nk waliuawa.Kenya ya leo demokrasia imetamalaki,vinginevyo jaluo asingekuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwatoe kwanza hao MiCCM kwanza toka uongozini....uchwara hauna nafasi ktk karne hii ya 21Utafikiri unaishi nchi ya malaika.
Kabla ya hapo ilikuwa Kenya, msando aliuawa na hakuna kitu kilichotokea.juzi ilikua kule Rwanda....wamemkamata dada na familia yake kwa kuupinga uongozi wa rais Kagame...duh miafrika tuna kasoro...
opposition leaders hawawezi waka kubali kukandamizwa Kenya...katiba haikubali uchwara...mtu anataka kucheza na bado ashike yeye firimbi...duh!Kabla ya hapo ilikuwa Kenya, msando aliuawa na hakuna kitu kilichotokea.
Kwetu kila kitu kizuri, ha ha ha.opposition leaders hawawezi waka kubali kukandamizwa Kenya...katiba haikubali uchwara...mtu anataka kucheza na bado ashike yeye firimbi...duh!
nakubaliana nawe....ndio maana watu wanapigwa risasi ovyo ovyo...lol! naona kila kitu kiko sawa kweliKwetu kila kitu kizuri, ha ha ha.
Kweli kabisa Kenya watu wanakula shaba kama kawa.nakubaliana nawe....ndio maana watu wanapigwa risasi ovyo ovyo...lol!
wakora....ila huwezi ukapata waziri ama kiongozi wa opposition wamepigwa risasi hata siku moja...isitoshe huwez ukapata kiongozi wa opposition amekamatwa na polisi au kukandamizwa kwa hali yoyote ile...yaani Tanzania=Zimbabwe=Rwanda=Uganda=Somalia=DR Congo=dictatorshipsKweli kabisa Kenya watu wanakula shaba kama kawa.
Abdalah Majura Mzanzibar huenda ni baba yake Majura unayemjua,vip Kolimba,Vipi Chacha Wangwe,Mzee kabuye, Prof. Mahinda,Angelina wa Takukuru Karatu nk.Kenya sasa hivi iko poàAbdalah Majura yupi aliyeuwawa?, Nimesema visa kama hivi kwetu ni adimu sana, havizidi vitatu, ila Kenya tangu uhuru ni jambo la kawaida sana, unasema wakati ule, umesahau huyo Juma niliyemtaja ni mwaka ja tu alikua akizozana na Rutto, huyu Msando ni juzi akifuatiwa na watu 24 waliouliwa katika ghasia za kupinga matokeo haramu, hawa watu walikua wanatimiza haki yao ya kidemokrasia ya kuandamana lakini walipigwa risasi na kuuliwa, demokrasia gani hiyo iliyotamalaki Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app