Tanzania opposition Chief Whip Tundu Lissu shot

Tanzania opposition Chief Whip Tundu Lissu shot

Tom Mboya, Pio Gama Pinto, Aoko, JUMA and Msando, just to mention few, lakusikitisha hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa katika mauaji yote haya tena ya watu wakubwa sana serikalini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni wakati ule hata Tz Hanga,Sadala,Abdala majura,Nk waliuawa.Kenya ya leo demokrasia imetamalaki,vinginevyo jaluo asingekuwepo.HuyubMsando ni issue binafsi zaidi.
PAKA baada ya kumaliza ya mchungaji sasa kaikamata nchi ,tuko safarini tunaenda Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vidole vyote vinaelekezwa kwa rais...hivi unaona madhara ya kuongoza nchi kwa kifua na uchwara?? inawezekana rais hata hana uhusiano wowote na shooting hii ila kwa vile amejizoesha kukandamiza viongozi wa opposition kwa kuwakamata kila wakati, wengi wameanza kumshuku...ona hapa
Vocal critic of Tanzanian president seriously hurt in gun attack
itabidi sasa ajifunze kuheshimu viongozi wengine
 
Yaani hawa jirani zetu imebaki nawaonea huruma. Naona ni kama wanachapa hatua mbili nyuma kila tukichapa hatua mbili mbele! Yaani juzi juzi tu si ndo J.K alikuwa anakenua kenua, si ni hii hii Tanzania?
 
Hiyo ni wakati ule hata Tz Hanga,Sadala,Abdala majura,Nk waliuawa.Kenya ya leo demokrasia imetamalaki,vinginevyo jaluo asingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Abdalah Majura yupi aliyeuwawa?, Nimesema visa kama hivi kwetu ni adimu sana, havizidi vitatu, ila Kenya tangu uhuru ni jambo la kawaida sana, unasema wakati ule, umesahau huyo Juma niliyemtaja ni mwaka ja tu alikua akizozana na Rutto, huyu Msando ni juzi akifuatiwa na watu 24 waliouliwa katika ghasia za kupinga matokeo haramu, hawa watu walikua wanatimiza haki yao ya kidemokrasia ya kuandamana lakini walipigwa risasi na kuuliwa, demokrasia gani hiyo iliyotamalaki Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museven naye pia alimkamata Besigye mara nyingi tu...mwanahabari Joy Doren pia alikamatwa kule Uganda....duh! yaani demokrasia ikoje bara hili??? [HASHTAG]#The[/HASHTAG] dark continent
 
Kabla ya hapo ilikuwa Kenya, msando aliuawa na hakuna kitu kilichotokea.
opposition leaders hawawezi waka kubali kukandamizwa Kenya...katiba haikubali uchwara...mtu anataka kucheza na bado ashike yeye firimbi...duh!
 
bb5ee416866085a01c4d04d354501fa9.jpg
tundu-png.583691
 
Kweli kabisa Kenya watu wanakula shaba kama kawa.
wakora....ila huwezi ukapata waziri ama kiongozi wa opposition wamepigwa risasi hata siku moja...isitoshe huwez ukapata kiongozi wa opposition amekamatwa na polisi au kukandamizwa kwa hali yoyote ile...yaani Tanzania=Zimbabwe=Rwanda=Uganda=Somalia=DR Congo=dictatorships
 
Abdalah Majura yupi aliyeuwawa?, Nimesema visa kama hivi kwetu ni adimu sana, havizidi vitatu, ila Kenya tangu uhuru ni jambo la kawaida sana, unasema wakati ule, umesahau huyo Juma niliyemtaja ni mwaka ja tu alikua akizozana na Rutto, huyu Msando ni juzi akifuatiwa na watu 24 waliouliwa katika ghasia za kupinga matokeo haramu, hawa watu walikua wanatimiza haki yao ya kidemokrasia ya kuandamana lakini walipigwa risasi na kuuliwa, demokrasia gani hiyo iliyotamalaki Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Abdalah Majura Mzanzibar huenda ni baba yake Majura unayemjua,vip Kolimba,Vipi Chacha Wangwe,Mzee kabuye, Prof. Mahinda,Angelina wa Takukuru Karatu nk.Kenya sasa hivi iko poà

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom