Tanzania opposition Chief Whip Tundu Lissu shot

Tanzania opposition Chief Whip Tundu Lissu shot

Dah huku Nairobi alindwe sana, ila huyu jamaa kule Bongo huchokonoa sana.....Afrika tuna safari ndefu. Hebu ingia kwenye mitandao uone Wabongo wanavyorushiana vjembe, uchama kwa kwenda mbele. Wao hupenda kutuhumu Wakenya.
Wewe mukenya bangi uliyokula si ya nchi hiyo.

post using my macbook air using jamiiforums app
 
wakora....ila huwezi ukapata waziri ama kiongozi wa opposition wamepigwa risasi hata siku moja...isitoshe huwez ukapata kiongozi wa opposition amekamatwa na polisi au kukandamizwa kwa hali yoyote ile...yaani Tanzania=Zimbabwe=Rwanda=Uganda=Somalia=DR Congo=dictatorships
Hakuna tofauti yeyote. Kifo ni kifo tu, auawe waziri au mtu wa kawaida.
 
I am ashamed to be part of this continent. Back home Kagame has ruined democracy completely.Can I move in to Kenya? seems to be the only place that democracy is thriving.i dont know about security though
 
Abdalah Majura Mzanzibar huenda ni baba yake Majura unayemjua,vip Kolimba,Vipi Chacha Wangwe,Mzee kabuye, Prof. Mahinda,Angelina wa Takukuru Karatu nk.Kenya sasa hivi iko poà

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaanza kuleta mambo ya udaku, sisi tunasema watu waliouwawa katika mazingira ya kisiasa wewe unawataja watu waliokufa naturally au kwa ajali, basi muingize mwalimu Nyerere, mzee Kawawa na wote waliokufa

Sisi tunataja watu waliouliwa au kupotea katika mazingira ya kisiasa, unataja akina Chacha wangwe waliokufa kwa ajali za kawaida, mbona humtaji Deo Filikunjombe, au kwa sababu hatoki upande ule wa siasa, au wakifa upande ule ni kawaida ila upande huu ndiyo wameuliwa?

Sasa ukitaka kuingiza vifo hivyo vya ajali au vifo vya kawaida huko Kenya ndiyo usipime, kuanzia akina Saitoti, Nkaiseri, na wengi wengineo, sisi tunazingumzia matukia kama haya ya Tundu Lisu ambapo mtu anapigwa risasi, kama Jakob Juma kule Kenya, na yule mbunge wa Kenya aliyeshambuliwa kwa risasi akauliwa yeye, dereva wake na walinzi wake wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani kwamba Wangwe au Sokoine na Mtikila kama walikufa kwa ajali? Unamfahamu prof.Chachage? Vifo vyote nilivyovitaja vina utata.Mtikila je? Ben Saanane yuko wapi sisemi kafa maana kifungu 117 cha sheria ya ushahidi itanifunga

Wewe inaonekana huijui Kenya vizuri, kama unaijua basi unajitoa akili, Kenya haijawahi kutulia na wala haitotulia angalau katika hiki kizazi chetu, Kenya inaongoza kwa police killings in Africa(Report ya transparent international 2017), Insecurity ya Kenya inaanzia kwenye mambo ya siasa, ugaidi, hadi vita miongoni mwa jamii za wafugaji huko Turkana na Pokot. Wewe hujiulizi hadi wabunge wanalindwa 24/7, wakati huku Tanzania ukiondoa waziri mkuu hakuna waziri hata mmoja mwenye walinzi 24/7, hiyo Kenya iliyotulia ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am ashamed to be part of this continent. Back home Kagame has ruined democracy completely.Can I move in to Kenya? seems to be the only place that democracy is thriving.i dont know about security though
Go to Kenya, you will be shocked, no election will go bloodless, this year so far we call it peaceful election but at least 24 people perished, that is peaceful for Kenya standard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huku Nairobi alindwe sana, ila huyu jamaa kule Bongo huchokonoa sana.....Afrika tuna safari ndefu. Hebu ingia kwenye mitandao uone Wabongo wanavyorushiana vjembe, uchama kwa kwenda mbele. Wao hupenda kutuhumu Wakenya.
Wow ,na vile wao husema tuna siasa chafu za unyama,vurugu na kumwaga damu sasa yaone haya.Wishing him quick recovery though, he'll heal and come back politically bigger /stronger.
 
Una uhakika gani kwamba Wangwe au Sokoine na Mtikila kama walikufa kwa ajali? Unamfahamu prof.Chachage? Vifo vyote nilivyovitaja vina utata.Mtikila je? Ben Saanane yuko wapi sisemi kafa maana kifungu 117 cha sheria ya ushahidi itanifunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unauhakika gani kama nyerere hakuuliwa, au Kawawa hakuuliwa?, kwa sababu umeamua kuishi maisha ya kusikiasikia bila kukubaliana na ripoti zilitolewa basi tuishi hivyo hivyo, kila anayekufa tuseme kauliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani kwamba Wangwe au Sokoine na Mtikila kama walikufa kwa ajali? Unamfahamu prof.Chachage? Vifo vyote nilivyovitaja vina utata.Mtikila je? Ben Saanane yuko wapi sisemi kafa maana kifungu 117 cha sheria ya ushahidi itanifunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Professor Chachage alikuwa mwalimu wangu na tulimuuguza hadi siku yake ilipofika, acha kuishi maisha ya udaku kusikiliza habari za vijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go to Kenya, you will be shocked, no election will go bloodless, this year so far we call it peaceful election but at least 24 people perished, that is peaceful for Kenya standard

Sent using Jamii Forums mobile app
Don't conflate one violent prone tribe from one small region to mean all Kenyans involve in bloodthirsty electioneering.I've never seen Merus,Taitas ,Giriamas,Samburus ,Turkanas ,Kikuyus,Kambas or a bunch of other tribes start bloody violence due to politics.You're fusing one fight-prone tribe to mean all Kenyans .
 
economy, cities, business,airline,sports and IT. even education.i have been there twice.
Some how you are right, but that is changing very fast my friend, Kenya is old story, Tanzania is changing that equilibrium very fast, try to go to Tanzania you will see for yourself, economy is booming, roads are far much better, manufacturing industry is picking up education system is undergoing major reforms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom