Kwa viongozi gani wanaotambulika?
Ww ni Nan mpka utilize hayo maswali? who are you?!Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa picha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi
Hii ina maana Gani kidiplomasia?
View attachment 3511442View attachment 3511443
We ku_ma acha useng_e nyumbu mama yako.Tanzania hatutaki kushiriki kwa sasa tumefocus kuzimaliza nyumbu zinazotaka kuleta machafuko.
Na tutahakikisha Nyumbu mnatubu.
anajua ataenda na wasiojulikana kumsumbua MangeTrump hawezi kumualika mwendawazimu
Trump lilivyo na dharau linaweza hata kumkojolea!Hiyo haipo
Tanzania kwishnei, kimataifa nchi inanuka mavi nani aialike kwenye majadiliano yanayohitaji utumiaji akili. Hakuna mwenye akili ambaye yuko kundi la muuaji Mwanuma nchokonoe wa kustahili kuwepo kwenye majadiliano.Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa picha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi
Hii ina maana Gani kidiplomasia?
View attachment 3511442View attachment 3511443
Nyerere ndio aliyetuachia huu msala unaoitwa ccm pamoja na katiba ya nchi inayogeuza viongozi kuwa miungu watu.Tumeishaonekana hatujielewi:Sisi tulikua mfano wa kuigwa, makosa madogo kidogo yana -sound issue kubwa. Tulikua na nafasi ya kujenga uchumi kupitia sifa ya kuwa nchi stable, yenye amani, location nzuri, mikutano yote mikubwa ingalikua inakuja hapa, kama tu kipindi cha Nyerere tulovyokua centre ya kukutania wapigania uhuru.Sasa isingekuwa uhuru kutoka mkoloni but uhuru wa kiuchumi.
Shida CCM, CCM - hawa watu ujinga wao, kuwa shortsited, wizi wa madaraka, kukosa uzalendo kwa kuendekeza uchama kuliko nchi ndo shida ya Tz yetu.Kimekua chama cha mapinduzi zidi ya wananchi....kama chama cha Kiimla.Nyerere atakua analia na kusaga meno huko aliko
😂😂😂😂😂Hili ni bonge la drawback.
Yani kutoka kuwa kitovu cha nchi za maziwa makuu, mpaka kuwa scrapper country!
😂😂😂😂Kiongozi x angeenda angeambatana na wasanii bongo movie bongo fleva
Ova
Sasa hivi hawezi kwenda nao ameshajua kuwa kwa sasa hawana ushawishi, kama hawa madogo Gen Z wanavyomchukia yeye ndivyo wanavyowachukia wasanii.Kiongozi x angeenda angeambatana na wasanii bongo movie bongo fleva
Ova
Hahaha..Jf bhana
Io lazimaRais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Wanajeshi wetu wengi wamefia Congo, ina maana damu zao hazijaacha alama yoyote.
Walichokipigania hakikumbukwi.
Pole sana JWTZ, mmeponzwa na mnaemlinda, damu na maisha yenu mmemwaga bure kule Goma na Kivu
Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi
Hii ina maana Gani kidiplomasia?
View attachment 3511442View attachment 3511443