Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

Kwani tz kuna serikali? Hawa akna nywinywinywi wu a yuu hawa, hawa akina gayizii ndo useme ni viongoz kwmb tuna serikali, its over my dead body kuamin hilo.
 
Hata wewe kama ungekuwa D Trump nina uhakika usingealika wauaji.
Kumbuka Trump aliona laivu mkanda mzima wa mauaji kupitia satelaite cams. Mkanda wenyewe unatisha kuliko wa Ramaphosa.
 
Hata wewe kama ungekuwa D Trump nina uhakika usingealika wauaji.
Kumbuka Trump aliona laivu mkanda mzima wa mauaji kupitia satelaite cams. Mkanda wenyewe unatisha kuliko wa Ramaphosa.
Ni hatari
 
Kwahiyo nyumbu kwa akili zenu kila mnaemuona jf au X mnafikiri anatumia VPN
Ulikaririshwa neno nyumbu, haya muombee sana mama ako asiingie kwenye kumi na nane za ICC, maana machawa wake Wote mtamgeuka na hamtaonekana mtakapopitia
 
Ulikaririshwa neno nyumbu, haya muombee sana mama ako asiingie kwenye kumi na nane za ICC, maana machawa wake Wote mtamgeuka na hamtaonekana mtakapopitia
ICC ni mahakama ya kipumbavu isiyo na mamlaka yoyote.
 
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"

Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa picha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo

Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi

Hii ina maana Gani kidiplomasia?
View attachment 3511442View attachment 3511443
Tumekuwa zile nchi za kijinga tunazo somaga kwenye magazeti na very soon tabia ya kuto jibu hoja ya msingi na kukimbilia udini ... tunaenda kupigana vita ya udini muda sio mrefu... tusipoangalia tanzania itaachwa haina hata mia ....uchumi utayumba mno
 
Tumepoteza askari wetu kibao kuleta Amani Mashariki ya Congo hadi tukaongoza mazungumzo ya kuondoa majeshi Mashariki ya DR Congo

Sasa tumekuwa kama hadithi ile ya kusikitisha ya Kisiwa cha wakoma (Paillon's French penal colony in French Guiana) kilichotengwa na jamii ya kimataifa

TOKA MAKTABA :

kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg

1764925551923.jpeg

Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo

Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya
View: https://m.youtube.com/watch?v=xZqjfJXSIMU

👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo

Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma
1764925308293.jpeg

Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.

Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .

Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..

View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs
 
Tumepoteza askari wetu kibao kuleta Amani Mashariki ya Congo hadi tukaongoza mazungumzo ya kuondoa majeshi Mashariki ya DR Congo

Sasa tumekuwa kama hadithi ile ya kusikitisha ya Kisiwa cha wakoma kilichotengwa na jamii ya kimataifa

TOKA MAKTABA :

JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg

View attachment 3483310

Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo

👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo

Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma
View attachment 3511499
Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.

Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .

Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..

View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs

Inasikitisha kwakweli
 
Kwa jicho la tai na kimkakati hii ni habari mbaya sana kwa Tanzania.
Kama DRC na Rwanda wame settle mambo yao maana yake kilichokuwa kinafanyika DRC kinakwenda kutokea Tanzania.

PK kwa kuwatumia M23 anakwenda kulipa kisasi na ukizingatia umoja wa kitaifa umepungua adui anashinda kirahisi sana.

Marekani wanalijua hili na wametumia fursa hiyo kumpa tough PK.

JWTZ watapata wakati mgumu na itafika wakati watajutia kuchelewa kuchukua nchi, itakuwa too late na ukizingatia kati yao wamegawanyika kwa hiyo sabotage kubwa itafanyika.

Let us wait and see.
 
Aisee nimepata uoga mno
Naona umenitoa usingizini
Huyu Kagame ni mtu hatari akina fursa, alienda Congo hataki kutoka, Sasa yupo Msumbiji anaiba dhahabu.
Naona kabisa inaweza kuwa USA na Rwanda wanaweza kuwa na mpango mbaya mno Kwa Tanzania.
Kumbuka kuwa tushawavuriga wazungu wengi na kuwakejeli kuwa Who are you?
Mungu saidia Tanzania
 
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa picha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
December 4, 2025
Washington DC

On December 4, President Donald J. Trump hosted the signing of the Washington Accords for Peace and Prosperity between the Democratic Republic of the Congo (DRC) and the Republic of Rwanda. This historic instrument reinforces commitments to end decades of conflict, foster economic cooperation, and build a foundation for lasting peace.

The Washington Accords reaffirm the parties’ commitment to implement the Peace Agreement between the DRC and Rwanda, agreed to in Washington, D.C. on June 27, 2025, and achieve the vision of the Regional Economic Integration Framework (REIF) to create a bold roadmap for peace, security, and unprecedented economic growth.

The DRC and Rwanda signed the Regional Economic Integration Framework (REIF), a groundbreaking bilateral initiative that unlocks the vast economic potential of the Great Lakes region and creates opportunities for the U.S. private sector.

President Felix Tshisekedi signed on behalf of the Government of the DRC, and President Paul Kagame signed on behalf of the Government of Rwanda. The signing ceremony was attended by Togolese President of the Council of Ministers Faure Gnassingbé, Angolan President João Lourenço, Burundian President Évariste Ndayishimiye, Kenyan President William Ruto, African Union Chairperson Mahmoud Ali Youssouf, Ugandan Vice President Jessica Alupo, Qatari Minister of State Dr. Mohammed Al Khulaifi and Emirati Minister of State Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan.

In addition to the Washington Accords, the following bilateral instruments were signed, hosted by Secretary Rubio:​

The Washington Accords and the initiatives affirmed today represent an internationally shared commitment to transforming the Great Lakes region into a model of peace, stability, and economic opportunity. By addressing the root causes of conflict, fostering trust, and advancing economic cooperation, the DRC and Rwanda are taking bold steps to create a brighter future for their citizens.

The United States remains steadfast in its support for these efforts, recognizing the immense economic potential of the Great Lakes region will only be realized through the full implementation of peace and security commitments
Source : Technical Difficulties
 
Tumefukuzwa kutoka jumuiya ya kimataifa wakati huko siku za nyuma historia inaonesha taifa letu lilikuwa eneo salama kutafuta haki na amani kwa waliokumbwa na migogoro

TOKA MAKTABA :

18 June 2020

Kikwete - Niliwafukuza Nkurunzinza, Evariste na Rajabu Hussein ... wakati wa mazungumzo ya Dar es Salaam na Arusha, ...pia poleni sana.. tupo pamoja..uchungu wenu ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=L4DH0kSJVBc
Rais wa Burundi mheshimiwa jenerali Evariste Ndayishimiye akiwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete mjini Gitega Burundi mwaka 2020.. ambapo Jakaya Kikwete aliongea siri ya mazungumzo ya kuleta amani nchini Burundi ilivyokuwa ngumu huku wakati huo Evariste Ndayishimiye alikuwa mbishi sana kama watu wa Ujiji Kigoma Tanzania rais mstaafu akiwahutubia Warundi kwa kiswahili na kushangiliwa sana..
 
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"

Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa picha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo

Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi

Hii ina maana Gani kidiplomasia?
View attachment 3511442View attachment 3511443
Yaani Donald Trump akakae karibu na takataka ulishaona wapi?
 
Back
Top Bottom