Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Ninapajua sana hapo mzee baba...Mimi nipo mkoa Ila Kila nikija dar huwa napenda kwenda pale sunrise!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapajua sana hapo mzee baba...Mimi nipo mkoa Ila Kila nikija dar huwa napenda kwenda pale sunrise!
Mchanga wake Kama podaNinapajua sana hapo mzee baba...
Laini saaaaanaMchanga wake mlain huna shida ya kuvaa raba Kama coco.
Kigambon naona sakafu yake ya bahari iko poa ukilinganisha na coco bitch!
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio mkuu kama powderMchanga wake Kama poda
mhhhHeri yako wewe uliyeanza kufuatilia kabla hata sisi wengine hatukuzaliwa mkuu
Yanga na Simba zina mashabiki Tanzania nzima. Kila mkoa ni nyumbani kwa timu hizi mbili na zinapokelewa kwa shangwe kubwa...Yanga nyumbani ni darr,hiyo mikoa ambayo haina timu ipambane na hali yake
Ndo maana kabla ya ligi kuanza timu zinasema viwanja vyao vya nyumbani ni vipi na ni utaratibu uliopo kwenye kanuni. Hayo yako ni maoni tu na kelele za mitandaoni.Yanga na Simba zina mashabiki Tanzania nzima. Kila mkoa ni nyumbani kwa timu hizi mbili na zinapokelewa kwa shangwe kubwa...
Sio lazima kila kitu ku-balance lakini kuna umuhimu wa ku-balancesio lazima simba au yanga ziende huko, sio kila kitu lazima ubalance.
Nimecheka kwa nguvuShida sio kuhama Dar... shida ni kumuachia Dar KMC!
Noma sana mkuuNimecheka kwa nguvu
Idea nzuri sana hii big bossKuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka.
Ndio hivyo mkuu. Simba na Yanga zina wapenzi nchi nzima na sio Dar pekee. Siku moja wapeleke derby yao hukoooo Mwanza waone namna watakavyopokelewa kwa shangwe na vifijoHili la timu kuhama sina comment lakini mechi ya simba na yanga kuchezwa mikoa tofauti na dar es salaam naafiki. Watakua wamewatendea haki washabiki wao wa mikoani ambao hawawezi kusafiri mpaka dar kuangalia mechi.
CCM Kirumba wa Mwanza. Kumbuka hata uwanja wa Mkapa bado unashindwa kuhimili mashabiki wooote ndio maana wengine wanabakigi nje mkuu.Uwanja gani wenye uwezo wa kuhimili mechi ya simba na yanga nje ya Dar ipelekwe huko?
Klabu za simba na yanga zimeshavuka level ya kutegemea kipato cha mechi moja. Tofauti ya kipato mechi ikichezwa nje ya dar ni kubwa lakini sio kwa timu hizi.Uwanja gani wenye uwezo wa kuhimili mechi ya simba na yanga nje ya Dar ipelekwe huko?
Kwanini sasa?Nimecheka kwa nguvu
Kweli kabisa mkuu. Hawa jamaa sio kabisa wa kutegemea mapato ya mlangoni ya derby moja tu...Klabu za simba na yanga zimeshavuka level ya kutegemea kipato cha mechi moja.
Tatizo wana mawazo duni sana sisi waafrikaKweli kabisa mkuu. Hawa jamaa sio kabisa wa kutegemea mapato ya mlangoni ya derby moja tu...
Zikifutwa, hakuna mpira utachezwa bongo
Hao ndio nguzo za soccer la taifa