Kazuri Kadada JF-Expert Member Joined Jul 8, 2014 Posts 536 Reaction score 435 May 31, 2021 #141 KazinjaTwo said: Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi. Click to expand... Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
KazinjaTwo said: Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi. Click to expand... Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
K Mwita JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 356 Reaction score 314 Jun 19, 2021 #142 Kazuri Kadada said: Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje? Click to expand... Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.
Kazuri Kadada said: Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje? Click to expand... Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Jun 19, 2021 #143 Unaongezaje Radha kwa mikoa ambayo hata hawana vipaji vya mpira?
Teddy1 JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 213 Reaction score 201 Jun 20, 2021 #144 K Mwita said: Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana. Click to expand... Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.
K Mwita said: Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana. Click to expand... Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.