Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi.
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.