Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hatutavumilia yale ya Alex Kitenge.

Alafu TFF wawe wanaandaa mipira mingi maana leo ilikua zamu ya Okwi.. mechi ijayo ni ya Kagere.. Anayefuata, atakua Salamba.. Baada ya hapo ni wote watatu.. Kwa kifupi ni mihat-trick kwa kwenda mbele.
Kwa simba hii Hadi aish manula atapiga hattrik
 
Hatutavumilia yale ya Alex Kitenge.

Alafu TFF wawe wanaandaa mipira mingi maana leo ilikua zamu ya Okwi.. mechi ijayo ni ya Kagere.. Anayefuata, atakua Salamba.. Baada ya hapo ni wote watatu.. Kwa kifupi ni mihat-trick kwa kwenda mbele.
Kabisa mkuu mipira inatakiwa iwepo ya kutosha kwa ajili ya mastraika machachari wa SIMBA
 
Watani Hajar na Sibonike njooni mchukue simu za msemaji wenu, Masau Bwire.View attachment 914473
Hivi yale masimu atakua aliyashika ya wachezaji wake et?

kama za wachezaji najua kuna baadhi yao simu zao watachukua kesho leo hii ni ngumu masu bwire atakwake hawezi kulala

Angalizo kama kuna mtu alikua anadaiwa na masau bwire awe makini hasira zinaweza kumuishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…