Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hahahaha vyura wanatamani watandaze kandanda safi kama la MNYAMA lakini uwezo wao mdogoVyura saivi wanajadili tano za barcelona ya ulaya alafu wanashangaa ni kivipi inakiwango cha kumfunga tano timu pinzani utafikili mambo hayo hayajatokea tanzania tena at the same day