Haitakaa itokee jamaani mie nawaombea njaa tu kwa kweli.Hamna mtani ukiniombea shibe na wewe utaongezeka mara dufu halafu pamoja na hayo nitakupa goli moja la Chama ukaombee mkopo benki au unasemaje hapo [emoji23] [emoji23]
Aisee huyu jamaa vyura wanatamani angekuwa wao
0-127' Singida United 0-0 Azam FC..Update TPL
Kila la heri 'Ndugu zetu' Azam FC mnapoliadhibu Tawi la Yanga SC, Singida United27' Singida United 0-0 Azam FC..Update TPL
Haya ndo maneno sasa.
Hahaha.. Na Ruvu waje sasa.Tunaingia tukijua sisi ni Defending ChampionsView attachment 914077
Daaah. Hatimaye leo na weye Mtani umeibuka ama kweli hii mechi mchekea. Teh
Mkuu King Ngwaba karibu sana..Yaani timu Lunyasi raha tupu, Mkuu OKW BOBAN SUNZU Shunie akamilishe kikosi..SimbaNguvuMoja
Wee Hajar wewe!Hahaaaa. Langu jicho Mtani.
Japo nakaona kadalili ka nyie kishinda. Ila yote kwa yote kila la kheri RUVU SHOOTING
Lazima nimpe onyo, Hajar usogee huku nikupe onyo kwa kuitakia mabaya SSCMpe Onyo..!
Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.Tpl imebaki timu moja tu inayo pitisha bakuli nyingine zote zinauwezo haziitaji msaada kutoka kwa wananchi
Unataka kusema Manji akija kuweka ela yanga mtakataa?Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.
Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe
Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.
Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe