Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Haitakaa itokee jamaani mie nawaombea njaa tu kwa kweli.Hamna mtani ukiniombea shibe na wewe utaongezeka mara dufu halafu pamoja na hayo nitakupa goli moja la Chama ukaombee mkopo benki au unasemaje hapo [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Hivi Chama ana goli kali la kuombea Mkopo kweli Mtani?