Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tunaingia tukijua sisi ni Defending Champions
IMG_20181028_163733_908.jpeg
 
Tpl imebaki timu moja tu inayo pitisha bakuli nyingine zote zinauwezo haziitaji msaada kutoka kwa wananchi
Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.

Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe
 
Unataka kusema Manji akija kuweka ela yanga mtakataa?
Tunza maneno yako mtani ili siku wachezaji wakianza kugoma upate cha kuongea.
 
Nimefurahi umesema timu ya Wananchi. Hiyo nyingine ni mali ya mtu na anaweza kuiuza na wana Yanga tukainunua.

Siku chache Mo alipotea mlikuwa taabani. Yanga haitegemei hisani ya mtu, wananchi wanaendesha wenyewe

Lakini Manji alipojiuzulu Munamg'ang'ania arudi kwenye Madaraka sasa lengo lenu Nini kwake?
 
Back
Top Bottom