Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Pale vyura hawaamini walivonusurika kwa hiki kinachowakuta wenzao
GBWA-20181012180949.jpg
 
90+3'

Wakati wowote mpira unamalizika uwanja wa Taifa

Naaaaam mpira umekwisha ambapo Simba imeibuka na ushindi mnono wa mabao matano bila majibu dhidi ya Ruvu Shooting

Mabao ya Okwi 3, Meddie Kagere 1, Adam Salamba 1

Ni timu mzima ya JF tumekuletea mtanange

Asanteni sana...

Ghazwat
Ulikua timamu na makini sana ndani ya Dk. zote 90.. Ubarikiwe sana Mkuu.
 
Kuangalia magoli yote yaliyo fungwa na Simba SC kwenye you tube inakuhitaji uwe na mb kuanzia 300 na kuendelea, lakini kuangalia magoli yaliyo fungwa na hii bendi iliyo sajili wakongo kuanzia mwalimu hata ukiwa na mb 1 inatosha
 
nyie simba leo lazima mshikwe mkia wenu, bungusiro fc
yaani leo mtabaki mnashangaa kama hivi
tupo pamoja ruvu shooting nitakuja baadae kuwashangilia.
Mkuu, Umemsikia Masau Bwire. Msubiri kupapaswa square.
TPL zimebaki timu mbili ambazo hazipoteza mchezo wowote. Timu nyingine zote ndogo ndogo mnapishana idadi ya mechi za kufungwa.
Kila la kheri Ruvu Shooting, msitishwe na majina wala uzee wao! Fanyeni kama mbao vile
Hahaaaa. Langu jicho Mtani.

Japo nakaona kadalili ka nyie kishinda. Ila yote kwa yote kila la kheri RUVU SHOOTING
Leo El Clasico....tutaangalia kipndi cha pili
Hongereni kwa kupunguza idadi ya magoli.. Leo mlikua mle 10. Msalimieni msemaji wenu wa timu Bwire, na akikisheni anafika kwake salama, mana hali niliyomuacha nayo dk 10 zilizopita, si nzuri.
 
Acha zako eti muinunue simba wakati nauli yakwenda mikoani hamna mmeomba tff wawape mechi za nyumbani mjikusanyie angalau nauli kidogo
Hisa ni bidhaa kwenye kampuni. Usishangae mwana Yanga kununua hisa za Simba.
Ukiacha Mo mwenyewe, wanachama wangapi watanunua hisa moja kwa laki nne?
 
Back
Top Bottom