Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Naaam mpira umekwisha yanga akiendelea kujikita kilekeni mwa msimamo wa ligi kuu NBC premier league. Mabao ya Feisal na Khalid aucho yanaifanya yanga kuondoka na alama tatu muhimu.
Unalitendea haki jukwaa la michezo kwnye nyuzi la live updates tofauti na hao MAKOLO wenzako wanaokimbilia kuanzisha nyuzi halafu hakuna mwendelezo wowote..wewe na kolo mwenzako "scars" huwa mnatuhabarisha vema sana pale tunapokosa nafasi ya kucheki mechi
 
Kuna watu misimu iliyopita walikuwa wanatupigia makelele "tuna kikosi kipana.......kimoja kinacheza mapinduzi.......kingine na Yanga kwa Mkapa......kingine Chamanzi na Azam.......",jana wameomba wahairishe mechi.
Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.
 
Wanaume karibia wote wagonjwa, plus majeruhi Ila wamepambana na kutupatia point 3 muhimu. Hongera vijana wetu, waache wenzetu waendelee kujiuguza na kuweka viporo.
Na wewe unaamini kabisa kwamba yanga wagonjwa ? [emoji23]
 
Pamoja sana mkuu.
 
Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.
Kwani Yanga alikuwa wapi?

Kwa hiyo wachezaji waliugua tu walivyo fika Kagera?

Kwa mtaa siku 14 bila kucheza mechi yoyote?

Wazee wa kikosi kipana,mnajifanya mna ngozi ya chuma mkiguswa mnabonyea.
 
Kwani Yanga alikuwa wapi?

Kwa hiyo wachezaji waliugua tu walivyo fika Kagera?

Kwa mtaa siku 14 bila kucheza mechi yoyote?

Wazee wa kikosi kipana,mnajifanya mna ngozi ya chuma mkiguswa mnabonyea.
Ni mchezaji yupi wa yanga aliyeumwa, inamaana hujui kuwa Ilikua ni mind game ya kitoto iliyochezwa na benchi la ufundi la utopolo fc.
 
Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.
haya majamaa majinga kweli ,wamesafiri 22 ,wagonjwa 16 ,na walioachwa dar karibia wote ni majeruhi ,wangechezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…