Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scars anamjua vizuriDaktari wa mpira Khalid Aucho
Mechi ya 9 hii unateseka..[emoji16]Michezo ya GSM inajulikana, mpira unachezwa vizuri mpaka dk hii sababu tu yanga anaongoza ila tungeona mengi hapa leo.
Unalitendea haki jukwaa la michezo kwnye nyuzi la live updates tofauti na hao MAKOLO wenzako wanaokimbilia kuanzisha nyuzi halafu hakuna mwendelezo wowote..wewe na kolo mwenzako "scars" huwa mnatuhabarisha vema sana pale tunapokosa nafasi ya kucheki mechiNaaam mpira umekwisha yanga akiendelea kujikita kilekeni mwa msimamo wa ligi kuu NBC premier league. Mabao ya Feisal na Khalid aucho yanaifanya yanga kuondoka na alama tatu muhimu.
Mkuu umeua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.Kuna watu misimu iliyopita walikuwa wanatupigia makelele "tuna kikosi kipana.......kimoja kinacheza mapinduzi.......kingine na Yanga kwa Mkapa......kingine Chamanzi na Azam.......",jana wameomba wahairishe mechi.
Hapana kolo vipi unataka kuntuku kiduara?Kumbe wewe ndo Mama Kimbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tawile.[emoji617][emoji617][emoji617]..Na Dozi Itaendelea Mpaka Mwisho Wa Ligi [emoji4]
Upepo umeanza kuisha sio [emoji23]Kikubwa point 3 mengine extra.
Na wewe unaamini kabisa kwamba yanga wagonjwa ? [emoji23]Wanaume karibia wote wagonjwa, plus majeruhi Ila wamepambana na kutupatia point 3 muhimu. Hongera vijana wetu, waache wenzetu waendelee kujiuguza na kuweka viporo.
Kwenye ukweli lazima tuseme.Mechi ya 9 hii unateseka..[emoji16]
Pamoja sana mkuu.Unalitendea haki jukwaa la michezo kwnye nyuzi la live updates tofauti na hao MAKOLO wenzako wanaokimbilia kuanzisha nyuzi halafu hakuna mwendelezo wowote..wewe na kolo mwenzako "scars" huwa mnatuhabarisha vema sana pale tunapokosa nafasi ya kucheki mechi
Kwani Yanga alikuwa wapi?Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.
ChamaSteven Gerrard
Paul scholes
Frank lampard
Feisal salum
Nimemsahau nani hapa??
Ni mchezaji yupi wa yanga aliyeumwa, inamaana hujui kuwa Ilikua ni mind game ya kitoto iliyochezwa na benchi la ufundi la utopolo fc.Kwani Yanga alikuwa wapi?
Kwa hiyo wachezaji waliugua tu walivyo fika Kagera?
Kwa mtaa siku 14 bila kucheza mechi yoyote?
Wazee wa kikosi kipana,mnajifanya mna ngozi ya chuma mkiguswa mnabonyea.
haya majamaa majinga kweli ,wamesafiri 22 ,wagonjwa 16 ,na walioachwa dar karibia wote ni majeruhi ,wangechezaje?Simba Ilikua ugenini na hawawezi kusafiri wote, jitahidi kushirikisha fuvu hilo kwenye kufikiria.