Tanzania pulls out of East Africa Common Visa Plan

Tanzania pulls out of East Africa Common Visa Plan

Status
Not open for further replies.
"Tanzania pulls out" ndio headlines ambazo huwapa raha Wabongo, pulling out, pulling out, pulling out, siku zote uwoga na kutokujiamini kwa lolote na popote.
Muwekeze kwenye elimu ili umma wa Tanzania uwe na uwezo wa kushindana na kuongoza, sio haya maisha ya mkisikia jina la Kenya mnababaika na kutetereka.

Wakenya tumewekeza kwenye nguvu kazi. Juzi kuna sehemu niliwaskia dada wa Kitanzania wakiongea wenyewe ofisini sehemu, halafu mmoja akasema "Hiyo ripoti imeandaliwa na Mkenya, chezea Wakenya wewe, wanajituma kweli".... Hawakujua mimi Mkenya, aisei nilihisi mzuka, nilihisi nipae kwa mabawa...yaani hadi raha....

Nafikiri hii picha hapa inaelezea kitu cha kujifunza kuhusu Kenya....

olympics714.jpg
That was headline written by Kenyans for Kenyans. Majority of Tanzanians were against this idea from day one. There is nothing we stand to gain, in fact Kenya will speed up KQ loan repayments in our expense.
 
cha kushukuru kisa tumepakana na bongo ni kipi?hebu ntajie kimoja
Ngoja nikwabie, Serengeti eco system, tukijenga ile barabara across the park ndio basi tena no more animal crossing. How about "come to Kenya to see Kilimanjaro". How about the market for Kenyans goods au unataka kuacha kuuza product zenu TZ? Na service sector je, does Tanzania not offering a sizeable market?
 
Interesting....

Ningependa kusikia sababu za Tanzania kufanya hivyo?

Nahisi pia labda na zile za tourists kuletwa TZ kushinda na kugeuza bila kulala nchini.

Tanzania ina vivutio vingi sana na Kenya wanatangaza kuwa viko kwao. Sasa hatua hii itathibitisha ukweli wa mahali Kilimanjaro na Serengeti vilipo kwa watalii. Ndiyo maana rais wetu JPM anakazana kuifufua Air Tanzania ili watalii waje moja kwa moja Tanzania badala ya kupitia Nairobi na hawatadanganyika tena. Mwalimu alifunga mpaka wa Bologonja kwa sababu Kenya walikuwa wanapitisha wageni wao kuja Serengeti na jioni wanarudi kwao Masai Mara kulala huku mahoteli yetu yakiwa matupu na baada ya kuchafua mazingira yetu na kuharibu barabara za hifadhi. Hongera rais JPM.
 
Hao wanaokuja kuangalia mlima kwa mbali ni watalii wa miaka ya 1980s ila watalii Wa sasa wanakuja kuuona mlima kwa ukaribu na kuupanda ili wapige picha nzuri za kuonekana View attachment 417537
Messi Messiah ndani ya UHURU PEAK and you can't reach that peak via what you Kenyans says Ambosile, you can reach it only Via MARANGU GATE at Moshi and for sure the best footballer in the world MESSI did....
 
Your attachment say it was 2014/2015 .... Also bro you can't read even when you see the real picture still you can't understand that Magufuli now is the best in Africa and even the world... Go to Togo, Australia, US, S. Africa, UK , everywhere and even more in Kenya Magufuli he's a hit, u Kenyans even innovated a vocabulary MAGUFULIFICATION to your leaders.... Also don't rely on small groups statistical research (University students) just follow the majority /Africans what they say.... Next time don't compare your MARIJUANA ADDICTED BOY(Kenyatta) with the BULL DOZER JPM.... HATUPENDAGI UJINGA siku hizi
 
in the few circles that he is known JPM is known for his tough stance on corruption, but other than that, no body really knows him, no one can remember his speech, no has any famouse qoutes, a pretty sure not many people even rememer how his face looks like, they just know there is a president in Tz that is tough on corruption
 
Kaka brazza, tupe mfano moja tu ya "wakenya kuitangaza Kilimanjaro yao". Nimesikia hii utumbo muda mrefu japo sijaona na macho hata poster 1 .Mnarudia rudia nursery rhymes za chekechea hadi mnadhani lipo. Tuonyeshe kwa njia ya picha nilale vizuri leo
Swali zuri
 
Why are they complining of TZ? What is there in TZ which they think is a loss if not? Why not Burundi?
 
when was Tanzania part of the single visa plan? hatujawahi kuwa kwenye hizo biashara zisizo na faida so when kenya media say Tanzania has pulled out it is a lie with intent to disorganise. tulijifunza mara ya kwanza, hatutakubali kurudia makosa. we decide what is best for us period
 
"Tanzania pulls out" ndio headlines ambazo huwapa raha Wabongo, pulling out, pulling out, pulling out, siku zote uwoga na kutokujiamini kwa lolote na popote.
Muwekeze kwenye elimu ili umma wa Tanzania uwe na uwezo wa kushindana na kuongoza, sio haya maisha ya mkisikia jina la Kenya mnababaika na kutetereka.

Wakenya tumewekeza kwenye nguvu kazi. Juzi kuna sehemu niliwaskia dada wa Kitanzania wakiongea wenyewe ofisini sehemu, halafu mmoja akasema "Hiyo ripoti imeandaliwa na Mkenya, chezea Wakenya wewe, wanajituma kweli".... Hawakujua mimi Mkenya, aisei nilihisi mzuka, nilihisi nipae kwa mabawa...yaani hadi raha....

Nafikiri hii picha hapa inaelezea kitu cha kujifunza kuhusu Kenya....

olympics714.jpg
Sasa hiyo picha ndio uthibitisho wa hao kina dada uliowasikia au huelewi unachokisema, kwanza hamna uhuru wenyewe kwa wenyewe kuishi pamoja hamuwezi,bado mnatafuta watu ambao wanajifahamu ili muwachanganye na matatizo yenu, mkiweza kuishi kwa kuamini ana kwenu huko nadhani wabongo hawatasita kuwapokea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom