Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Wewe punga Peleka ujinga wako..

Achana na huyo MTOCHORO kijakazi wa mafisadi, hana lolote alijualo. Alikuwa anatumwa na mafisadi kupeleka manunuzi na noah kwa nyumba ndogo zao. Hivyo hatakuelewa unachoongea. Anaugulia machungu ya kubana uwizi.
 
September 29, 2017 / 4:00 PM / Updated 18 hours ago

Tanzania awards $1.9 bln railway contract to Turkish firm

Reuters Staff

2 Min Read

DAR ES SALAAM, Sept 29 (Reuters) - Tanzania has awarded a $1.92 billion contract to a Turkish firm to construct a 422-km (262-mile) high-speed electric railway line, part of plans to overhaul ageing transport infrastructure.

The firm, Yapi Merkezi Insaat VE Sanayi As, will design and construct the railway line, the second infrastructure project won by the company in Tanzania this year.

“After assessment of the bids, Yapi Merkezi met the technical and financial requirements,” Tanzanian state-run railway firm Reli Assets Holding Company Ltd (RAHCO) said in a statement on Friday.

Fifteen contractors submitted bids for the project.

The new standard gauge railway will replace the existing narrow gauge line built over a century ago.

The line, from Morogoro to Makutupora, both in central Tanzania, will have the capacity to transport 17 million tonnes of cargo each year, RAHCO said.

In February, Tanzania signed a deal worth $1.215 billion with a consortium of the Turkish firm and Portugal’s Mota-Engil Engenharia e Construção África, S.A. to build another 300-km railway line.

RAHCO said it would award three additional tenders over the coming months for the construction of close to 700 km of railway.

Government officials said Chinese companies were vying with Turkish firms to be awarded tenders for construction of other sections of the railway line.

Tanzania wants to profit from its long coastline and upgrade its rickety railways and roads to serve the growing economies in east and central Africa.

In total, it wants to spend $14.2 billion over the next five years to build a 2,561 km standard gauge railway network connecting its main Indian Ocean port of Dar es Salaam to its hinterland.

The port’s vast hinterland loops in eastern Democratic Republic of the Congo, Zambia, Rwanda, Burundi and Uganda. (Reporting by Fumbuka Ng‘wanakilala; Editing by Elias Biryabarema and Mark Potter)

Our Standards:The Thomson Reuters Trust

Tanzania awards $1.9 bln railway contract to Turkish firm
 
Hivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?
 
Hivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?

Kama tungechukua pesa hizo kutoka China tungelazimika kumpa kazi kandarasi kutoka China. Nadhani baada ya zabuni ya kwanza labda serikali iliona kuwa makandarasi wa China walikuwa na gharama kubwa ama kasoro nyingine.

Hata hivyo, sio awamu zote tutatumia pesa zetu. Maongezi yanaendelea kujaribu kupata mikopo kwa ajili ya awamu nyingine.
 
Inawezekana, ila sidhani kigezo cha kupewa Merkez ni kwa sababu pesa inatoka Turkey. Hayo mambo wamefanya wa Kenya. Kma ndyo hivyo wachina walikua tayari ku finance the entire project ili mradi tu contract ya ujenzi wapewe wao.
kwa usd 7.5b hizo ni hela nyingi sana
 
Hivi? Ni kwa nini tulikataa USD Bilioni 7 za ujenzi wa Reli hiyo? Na kuamua kujenga kwa pesa zetu kidogokidogo.?
usd 7.5b rekebisha hapo juu halafu aina ya reli ingekuww kama ya kenya ambayo sio electric
 

Maybe sote hapa tunapaswa kusoma zaidi juu ya China One Belt, One Road Initiative. Mifano hii hapa na hapa.

Mwisho wa siku, waChina wanataka kuunganisha Indian Ocean na Atlantic Ocean ili kupunguza shipping fees zinazotozwa kwenye Suez Canal, shipping times toka china hadi North/South America bila kuzunguka Africa Kusini n.k.
Reli hizi (SGR Kenya/Tanzania) ni part of a larger scheme ya China kujitunisha misuli kibiashara.
Lengo lao ni kupitisha bidhaa toka viwanda vyao India/China/Vietnam kwa kutumia bandari (Dar, Mombasa, Bagamoyo?, Lamu, Djibouti), Reli za SGR Kenya, Tanzania, Ethiopia etc, Mizigo itaenda hadi Angola, Nigeria na kuendelea hadi Marekani, Brazil n.k. Jamaa wanafungua trade routes mpya. Swali la kujiuliza hapa ni Je, nchi yangu imejiweka sawasawa kuchukua fursa hii kujiendeleza? Tukiendelea kutoa macho tu wenzetu watasafirisha bidhaa zao na makontena yatarudi Asia yamejaa toka marekani/Argentina/Mexico vikipitia kwetu.

Inatia huruma sana kuona WaAfrika tulivyobaki kubishana wenyewe na kushabikia SGR zenye urefu chini ya 2000 KM ilhali wenzetu wameshaona mbali na wanajijengea fursa. Tulimkosea mungu nini jamani???
 
Ninakuhakikishia hizi reli za Tanzania na Kenya ni initiatives za nchi hizi mbili kwa faida ya hizi nchi mbili, china zaidi ya kufanya biashara ya kukopesha pesa na kupata tenda za ujenzi sidhani kama huko kwengine kuna muhusu sana, kama lengo ni kupitisha mizigo yake kwanini asichangie japo nusu ya gharama, kwanini ajenge reli mbili au tatu ambazo zote sinaelekea sehemu moja, huoni huko ni kujimaliza kibiashara, kwanini akubali kujenga reli ya mwendokasi mdogo, 80km/hr kutoka Mombasa hadi pwani ya Antlantic si ni bora kuzunguka kwa meli kupitia Cape Town, wewe kwa maoni yako, hizi reli zetu unadhani zitafika mbali?, yaKenya mwisho wake ni Kampala, kama Museven hatobadilisha mawazo, mbeli kabisa ni Juba, endapo South Sudan itatulia, ile ya Tanzania mwisho ni Kigali, kama Kagame hatobadilika, mbali kabisa ni Eastern DRC, kama hiyo nchi itatulia, beyond those areas, ni ndoto za mchana, na kama ikitokea ni baada ya vizazi vinne toka sasa, may be a hundred years from today
 
kwa usd 7.5b hizo ni hela nyingi sana
Mkuu najua ilikua USD 7.6 B, Ila mimi sijasema nipesa ndogo wala sija shauli tungechukua. Ninacho sema sizani kama kigezo cha kupewa tender Markez ni kwa sababu Turkey ame finance project. Kweli kwa USd7.6 b kwa style hii ya Magu mpaka project ina isha tunaeza tuka tumia the same amount au less halafu full electric.
 
Before we proceed Have you read on the OBOR first?
 
usd 7.5b rekebisha hapo juu halafu aina ya reli ingekuww kama ya kenya ambayo sio electric

halafu ingekuwa 120km/hr, na wangeleta mabehewa kama yale waliowapelekea kenya, na riba nasikia ilikuwa kubwa.
 
Mpaka saivi tumeshasaini mkataba wa Ujenzi wa sgr km's zaidi ya 500 kwa pesa haizidi 2.7 billion.

Reli awamu ya kwanza ni 1000 km's na kichele hivyo unaweza kuona gharama halisi ukizingatia hii ni ya umeme lakini ya kichina ya 7 billion ilikua ya diesel na chini ya 120km kwa saa.

Yetu kuanzia Dodoma itakua 200km kwa saa
 
Good stuff... ila Dar-Moro ilikua approx 1.2 na Moro-Dom approx 1.9, Total ina gonga 3.1 b. I stand to be corrected, Otherwise our project is superb n way cheaper.
 
Nimekua busy sana, kuhama nyumba, kazi mpya laptop mpya...nk
Anyway nikirudi vizuri mtandaoni nitajaribu ku reply kulingana na timing...

Anyway ninachosema kuhusu WB, kama unataka mmalize ujenzi wa SGR yenu 2030 basi endeni na WB, kumbuka SGR sio mradi wa mpigo mmoja kama BRT au bandari, Sgr ni mradi wa phases,sections...etc pesa hazitatolewa kwa hatua moja mtakua mnapewa nusu mwaka huu alafu mnaambiwa mgonje tena mwaka ujao ndo mpewe pesa za section 2,3..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…