Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI
Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania!
Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha matangazo yake!
Safari chaneli imekuwa channel bubu katika matangazo yake zaidi ya 90%
Ukitizama Tanzania safari chaneli Kuanzia Asubuhi hadi jioni tarajia kusikia simulizi butu au video bubu isiyokuwa na maelezo kama vile alama za barabarani!
Mwanzo mwisho ni maneno machache tu yanasikika mfano ( Hiki ni kisiwa cha BONGOYO halafu kimyaaaaaah) au utasikia hiki ni kisiwa cha MBUDYA then nothing over baada ya hapo!
Utaoneshwa wadudu pasipo maelezo, utaoneshwa mawe majabari pasipo maelezo , utaoneshwa mbuga za wanyama Tanzania pasipo maelezo!
Yaani kiufupi no Investigation story katika habari hii ya Tanzania safari chaneli!
Mazungumzo ni hadi pale ikitokea wameingia vijiji vya wamasai ndipo utasikia wanaongea Huyu MOLANI WA KIMASAI over! Au hadi pale wanapokutana na Bongo zozo mbugani
Naomba hii chaneli iajiri watu wenye uelewa/competent ili itangaze vitu vya kueleweka!
Mambo ya kutaja majina ya kisiwa na kunyamaza hayataisaidia inchi!
Ijifunze kuchambua mambo ili wananchi waelewe kuliko hivi sasa mda wote wanataja majina na kunyamaza!
Leo hii ni rahisi sana kumuelewa Simba kutoka Chaneli za ulaya zinazokuja kurekodi Tanzania! Kuliko kuangalia TZ safari chaneli!