- Thread starter
- #41
Ndo hivyoenzi za utotoni kulikua na sinema za wanyama amazing tukadhani ni mbuga za huko majuu kumbe zetu hapa ila hatuna ubunifu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyoenzi za utotoni kulikua na sinema za wanyama amazing tukadhani ni mbuga za huko majuu kumbe zetu hapa ila hatuna ubunifu tu
Wabongo wako busy na umbea tuWazungu wametuzid sana hapa..wao wapo radhi kukaa mbugan hata 5 years wakifatilia na kurekod wanyama..pia wanawasoma tabia zao, ndo mana hata wasimuliaji wa documentaries za kizungu wanatumia wapo vzur sana..wanakufanya uzidi kuangalia tv tu