Hii channel ilianzishwa kisiasa sana..ni kama wamekurupushwa...hakuna documentary yyote ya maana waliyonayo...wanashindwa hata kuiga kutoka national wild/animal planet huko waone watu walio serious na kazi zao wanafanyaje..wakodishe wataalam kutoka nje ya nchi waingie mbugani huko hata 2 years watuletee documentaries za maana..
Wazungu wametuzid sana hapa..wao wapo radhi kukaa mbugan hata 5 years wakifatilia na kurekod wanyama..pia wanawasoma tabia zao, ndo mana hata wasimuliaji wa documentaries za kizungu wanatumia wapo vzur sana..wanakufanya uzidi kuangalia tv tu