DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
Hapo mwisho umenena vyema mkuu. Aliwashika akili mawaziri wote.Kupata revelations mpya at a time ni kosa?
Usisahau pia mwenye lake jambo sasa hayupo. Alikuwa anatuelekeza kubaya - siyo siri.
Watu waliishi kwa kumfurahisha mwendazake.
Ila kwa sasa cha muhimu kujilinda. Na kuwalinda wengine