#COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

Na ya bibi ako?
😂😂😂😂
Basi ndugu haina haja kutupiana maneno ambayo Hayana msingi wakati pesa zinaliwana watu wengine, jitahid kulipa kodi ili kuleta maendeleo ya nchi, na unapo-ongeza salio kwenye lain yako ya cm usisahau kuweka na shiling 200 kwaajili ya makato kwa maendeleo yetu #Ndugu babati
 
Sawa Bashite
 
Tutaacha lini kuiga mambo?

Tukubali tukatae, korona si kwa ajili yetu Watanzania. Mbona tunatumia nguvu nyingi kulazimisha tuamini uwepo wa korona ambayo kiuhalisia haipo!

Ugonjwa haufichiki, ingekuwepo tungeiona tu…. tuache kuchuma majanga.
 
Ungeuonaje?
 
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Hapa ndipo nachokaga kabisa!
 
Hali ya uchumi ni mbaya hivyo lazima jitihada zifanyike ili hiyo offer ya IMF iweze kupatikana.

Sasa hakuna tena atakayesema tutumie nyungu katika kupambana na hili janga kwani hawa akina Gwajima wanacheza mziki ule unaochezwa wakati huo.
 
Watanzania wamezoea kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Awamu ya is a mlipuko wa covid-19 awamu ya Tatu baada ya kutikisa India, Sasa inatikisa vilivyo nchi jirani.Imelipotiwa Uganda, Kenya, DRC, Rwanda Sasa ipo Zambia.

Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.

Watanzania wengi wanapenda matako, sio mbaya kutoa matamko huku wakitolea mfano nchi jirani walivyokwenye mtikiso wa covid-19.

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.
Mpaka imtikise Ndugu Yai na wafuasi wake ndipo tuikie matamko
 
Watanzania wamezoea kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Awamu ya is a mlipuko wa covid-19 awamu ya Tatu baada ya kutikisa India, Sasa inatikisa vilivyo nchi jirani.Imelipotiwa Uganda, Kenya, DRC, Rwanda Sasa ipo Zambia.

Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.

Watanzania wengi wanapenda matamko , sio mbaya kutoa matamko huku wakitolea mfano nchi jirani walivyokwenye mtikiso wa covid-19.

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Unashida ya akili wewe,!

Kwani kwa tanzania ww ndyo Mara ya kwanza kisikia Corona??

Ilikuwepo, IPO na itakuwepo...km huchukui tafadhari mwenyewe, Basi acha kutisha watu.,pambana na Hali yako
 
Back
Top Bottom