#COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

Napita huku na kule mitaani.... Sioni Corona kwa kweli. Sioni kabisa. Nmezunguka sana sioni Corona popote pale. Na hata zile Taarifa za kutishana hazipo.

Mimi nmehudhuria Makusanyiko mengi sana Tanzania. Mengi sana. Bila Barakoa. Katika hili Magufuli was Right. Tuweke Unafiki pembeni na chuki. Rais alikataa Kuwepo Corona na aliongoza kwa vitendo. Hili apongezwe.
 
Umesema kweli. Corona hakuna. Hata watu waliofariki na wanaofariki wanakufa kwa hofu tu. Hata Magufuli alikufa kwa hofu tu kama alivyokuwa anasema mwenyewe, corona hakuna ila ni hofu tu.
 
Maisha yanaenda kasi sana...

Huyu si ndio waziri alikuwa mstari wa mbele kwenye ishu za nyungu hadi akawa anatengeneza video clips na mumewe...

Sasa hivi kahamia tena kwenye barakoa 😊
 
Upeo wako wa kuelewa mambo haya uko chini. Hili unalohoji maelezo yameshatolewa mara nyingi tu.
 
Ila Magufuli alitushika pabaya. Mtu mmoja akasema nchi haina Corona na watu 60m tukafyata
 
Watanzania wengi wanadharau uvaaji wa barakoa ,mwendazake alibrainwash watu sana ,wanaovaa barakoa kwasasa ni watu ambao wanaojielewa lakini hawa wavuja jasho hawezi kukuelewa kuvaa barakoa.
Hawa wasiojua matumizi sahihi ya kutumia barakoa ndio unasema wanajielewa? watu hawajui ni kipi unatakiwa kufanya kabla ya hujavaa barakoa na vp unavua barakoa na kipi unatakiwa kufanya baada ya kuvua barakoa.
Matokeo ya kutojua matumizi sahihi ya uvaaji barakoa husababisha kuongeza maambukizi.
 
Haya umeshakula chakula cha mchana??
 
Huyu Dk. Gwajima wa Sasa na Yule wa Kipindi cha JPM ni mtu na ndugu yake ?, Mbona kama wanafanana sura, jina na wadhifa lakini matendo tofauti ?
 
Tumeshatumia tiba asili, halafu korona tunaisikia tu kwa majirani nani kwanini tuvae mabarakoa tena ?
 
Siyo kila mtu ana uwezo wa kuelezea mambo ya COVID19 kama wewe Mtu Asiyejulikana.
Haya mambo ya COVID19 ni mambo ya kitaalamu Sana na yanapaswa yajadiliwe na wataalamu wa afya au na watu wenye uwezo wa kuchanganua. Huu ni ugonjwa wa mlipuko hauko kama kichocho au malaria

Watanzania wengi sana wamekufa kwa ugonjwa huu wa mlipuko including huyo Rais Magufuli aliyepinga uwapo wa COVID19. Mlipuko kwa Tanzania umekuwa unaanza mwezi Desemba hadi Machi.

Sasa usitumie hali unayoiona sasa hivi ikawa ndiyo conclusion yako. Endelea kufuata ushauri wa kitaalamu chini ya WHO na Wizara ya Afya
 
Watanzania wengi wanadharau uvaaji wa barakoa ,mwendazake alibrainwash watu sana ,wanaovaa barakoa kwasasa ni watu ambao wanaojielewa lakini hawa wavuja jasho hawezi kukuelewa kuvaa barakoa.
Hiyo mimba uliyodungwa na mwendazake itakutoa roho kwa siku lazima umtaje mara 62!

Mdude alikamatwa na cocaine za mbowe akizisambaza mikoa ya nyanda za juu kusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…